Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,285
- 1,853
Halafu kila mmoja na destiny yake hapa duniani, kufuatilia destiny za watu nikupoteza muda na kuendeleza umbea bilasababu. Kwenye nguvu za asili anayemtangaza jamaa hapa anasubiriwa na ya kwake. Tujifunze kutosema sema ya wengine hapa ulimwenguni, tutaishi kwa raha sana.Pambana na maisha yako.
Kwamba unataka sisi tufanyeje:
- tumuonee huruma jamaa?
- tukutoe wasiwasi kuwa hiyo ni kawaida kwenye maisha ya ndoa?
- tumsifu jamaa kuwa mvumilivu kwenye ndoa?
- Tumkandie mwanamke kuwa mcharuko?
Wewe una undugu nao?
Hata kama wanapendana ndio usombelee vitu vyote kwenu?Ukifatilia matatizo ya wapendanao au ugomvi wao utaumbuka wewe hujui Nini tatizo
Hayo ni mambo Yao hayatuhusu ndo maana unaambiwa wanandoa wakigombana shika jembe kalime kesho unaona hao wanatoka wanachekaHata kama wanapendana ndio usombelee vitu vyote kwenu?
Tuseme wanawake ni wa ajabuPambana na maisha yako.
Kwamba unataka sisi tufanyeje:
- tumuonee huruma jamaa?
- tukutoe wasiwasi kuwa hiyo ni kawaida kwenye maisha ya ndoa?
- tumsifu jamaa kuwa mvumilivu kwenye ndoa?
- Tumkandie mwanamke kuwa mcharuko?
Wewe una undugu nao?
Ana Afya mbovu ya Akili!Habari za muda huu members.
Kuna jirani yangu hapa ninapoishi yeye ni mfanyakazi wa kampuni kubwa ya mabasi ya mikoani.
Kwa macho yangu jana ni mara ya tatu ndani ya miaka 2 ya ndoa mke anaenda kwao kukitokea maneno kidogo tu.
Mke anavizia jamaa akienda kazini huku nyuma anakodi guta anasomba vitu vyote vya ndani anasepa kwao.
Sasa najiuliza inakuwaje mtu anasomba vitu vyote vya ndani halafu unamfuata tena akifika mnaanza moja.
Namuonea mpaka huruma au kwasababu ana hela? Flat screen TV, freezer,makabati everything halafu unamfuata kwao.
Wazoefu nitoeni matongo tongo hapa.