Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,267
- 1,819
Habari za muda huu members.
Kuna jirani yangu hapa ninapoishi yeye ni mfanyakazi wa kampuni kubwa ya mabasi ya mikoani.
Kwa macho yangu jana ni mara ya tatu ndani ya miaka 2 ya ndoa mke anaenda kwao kukitokea maneno kidogo tu.
Mke anavizia jamaa akienda kazini huku nyuma anakodi guta anasomba vitu vyote vya ndani anasepa kwao.
Sasa najiuliza inakuwaje mtu anasomba vitu vyote vya ndani halafu unamfuata tena akifika mnaanza moja.
Namuonea mpaka huruma au kwasababu ana hela? Flat screen TV, freezer,makabati everything halafu unamfuata kwao.
Wazoefu nitoeni matongo tongo hapa.