Bado amri mbili tu kutolewa

Hawezi kufikia hata 0%.
 
Mimi huyu mkulu kanichosha hata mwaka hajamaliza...napenda atawale awamu hii tu...mana imekuwa awamu ya taarabu tu
 
Akili ni nywele na ww una kipara sasa tutakuelewaje? Mbona kama unapiga vijembe indirectly? Umepanik eh
 
Akili ni nywele na ww una kipara sasa tutakuelewaje? Mbona kama unapiga vijembe indirectly? Umepanik eh
Sasa nipanik kwa nini mkuu,vijembe nimempiga nani sasa na mimi sijamtaja mtu!
 
Dunia imewaona wengi sana watu wa aina hiyo na ndio maana siku hizi wanaheshimiana! wala tusifadhaike atagundua anakoelekea siko kwani watu wanao hudhuria mikutano yake wanapungua kwa kasi kubwa. Bado kidogo atawanunua wa kwenda kumsikiliza.sitaki tena kusikiliza hotuba zake wale kumuona live!
 
Mwarobaini wa nchi hii ni Katiba mpya tu tena ya wananchi siyo ya watawala
 
Kibaya zaidi hakuna anayeonekana kumkosoa mkulu na kumweleza kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia zaidi ya Wapinzani! Hivi walioko CCM wamejaa uoga, unafiki au nini hasa??
 
Kumuomba Mungu tu bila kumwambia ukweli muhusika, ni sawa na kumruhusu aendelee kuvunja sheria na kukanyaga katiba
Waswahili walishasema "The more you cut salamander's tail the more it grows "Kama ni mimba basi hii ya kinyonga.zimebakia stages chache sana za kujifungua na ndipo chadefisi kitakapofia. Hivi watu watasema mara ngapi kwamba Nchi hii ilikuwa imefikia pabaya? Sasa reformation processes must be extremely bitter to some of you guys. Mlikuwa na holiday season awamu ya nne. Tulieni mnyolewe na mfanyiwe scrubbing hizo chunusi zenu mlizozihifadhi kwa kuzungurusha mikono. Matumaini tuliyoyataka ndio haya ambapo bado kitambo kidogo tu watu maskini na waishio vijijini wataanza kufaidi keki ya taifa kwa kupata masoko yauhakika wa mazao yao. Ni Tanzania tu ambapo harakati za kisiasa huwa hazikomi baada ya uchaguzi. Sasa nchi itaendelea vipi iwapo leo Rais akitoka ziara ya Singida kesho wanaingia UKUTA kwa kushambulia au kumkosoa Rais? Subirini angalau 2019 Ndo muanze harakati. Hata baba yenu mamvi kawakatalia hii maneno. Hamjui tu kwamba mvuto haupo tena ktk jamii. Hayo matamko Hayana tija kwa hiki kipindi kifupi cha mpito. Watanzania hata hawawaelewi kabisa. Chukueni ushauri wa MZEE mrudishe majeshi majimboni.
 
Mwenyewe anadhani watanzania ni wapuuzi kwamba wataendelea kuvumilia tu haya anayoyafanya na kuyasema kumbe watu wanamvutia pumzi tu. Patakuwa hapatoshi hapa.
 
Mwenyewe anadhani watanzania ni wapuuzi kwamba wataendelea kuvumilia tu haya anayoyafanya na kuyasema kumbe watu wanamvutia pumzi tu. Patakuwa hapatoshi hapa.
Hapo kwenye mvutano busara isipotumika,mlipuko wake unatisha!
 
Hapo kwenye mvutano busara isipotumika,mlipuko wake unatisha!
Amri nyingine akatayo ileta,ni kuingilia matumizi ya raia.....watu watakuja ulizwa wapi umetoa fedha....Naona tunarudi miaka Íle ya kifimbo
 
Amri nyingine akatayo ileta,ni kuingilia matumizi ya raia.....watu watakuja ulizwa wapi umetoa fedha....Naona tunarudi miaka Íle ya kifimbo
sema miaka hii watu hawatotupa mafuko ya fedha!
 
Nimejiona genius kwa kukuelewa mkuu,asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…