Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.Tangu Rais Magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.
Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.
Amri ya kwanza ni wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.
Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.
Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba Mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!
Mungu ibariki Tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
Amri nyingine ATAKAYE NIKOSOA MKATE KICHWAKwani chadema kuna fisadi?
Bado, ukibanwa na haja kubwa au ndogo upo mbali na nyumban kwako, vumilia mpaka urudi kwako uctujazie mashimo yetu.............. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..... ni utani tuuu kwani hapa kwetu tuna makabila zaidi ya 100 tumezoea kutaniana tuu......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji205] [emoji205] [emoji205]atakuja kusema kuwa hakuna raia kusafili kwenda mkoa mwingine,coz kama ukisafili kazi atafanya naniiii
wasiwasi mimi sina ila tupo kuangalia mustakabali tu mkuu!Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Sina uhakika kama una uhakika wa usemacho!!!!Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Nchi inanyooshwa na katiba sio matamko, kufanyaivo ni kazi bure, hii ni sawa na badala ya kumpereka mtoto wa miaka 4 chekechea wewe unampereka darasa la 3 halafu unatangaza bakola na unasema ataelewa tu.Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Mkuu naomba usipanic twende kiutaratibu nchi kweli inanyooshwa na katika lakini sio kwa Tanzania ilipofikia.Tuna miaka mi ngapi tangu hyo katibu kuundwa? Tujiulize ni Lini ilinyoosha nchi? Tuache ushabikiNchi inanyooshwa na katiba sio matamko, kufanyaivo ni kazi bure, hii ni sawa na badala ya kumpereka mtoto wa miaka 4 chekechea wewe unampereka darasa la 3 halafu unatangaza bakola na unasema ataelewa tu.
Usiogope yeye anataka viongozi wa vyama tu na hakuna tusi!Tutaisoma number na humu jf mnamkosoa kosoa mtukufu ngoja apitishe rungu lake
Tatizo halikimbiwi tatizo ni kutafutiwa ufumbuzi!Nikweli kabisa...huo moto ni Magufuli na petroli ni mahakama ya mafisadi...hamieni Somalia
Kinacho nishangaza mpaka sasa bado kuna watu hawajaona wehu wa huyu mtu wa kambi ya upinzani. Kweli watu hawaoni vituko vinavyofanyika mpaka sasa? Dodoma watu wanaondolewa kwenye nyumba zao ili kupisha wizara kuingia, mbaya zaidi hata walio chini yake hawajajua kama wameishapotea.Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Itakuwa vyema!Hata mkulu alipita kwenye majaribu makubwa wakati wa kampeni hadi katuni moja ikachorwa ikimwonesha anaungua lakini mkwere kwa pembeni akimpoza kwa maneno mazuri kuwa ni moto wa mabua tu avumilie atavuka! Mkulu ni mzoefu tayari kwa majaribu na vizuri keshasema hajaribiwi now hivyo tusiwe na shaka wabongo tutapita ila mafisadi tutawaacha segerea!