kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Tangu rais magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.
Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.
Wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.
Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.
Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!
Mungu ibariki tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
Hatari kubwa sana!Hatari.......
usicheke tunaombolezaHahahahahahahaha
Balaa!Hahahaah nimesoma ujumbe ila hapo mwisho pamenichekesha.!
Kweli tupo katika hatari kubwa sana
Kwani chadema kuna fisadi?Tangu Rais Magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.
Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.
Amri ya kwanza ni wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.
Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.
Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba Mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!
Mungu ibariki Tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
Tuombe mungu aepusha haya mashaka!Umesahau amri nyingine, kuanzia sasa vyama vyote vya siasa vimepigwa marufuku itabaki ccm tu, atakaye nijaribu atakiona cha mtemakuni
Mimi sijui sikuitaja chadema!Kwani chadema kuna fisadi?
Itakua vizuri kwa sababu vyama vingine havina tija katika maendeleo ya nchi hiiUmesahau amri nyingine, kuanzia sasa vyama vyote vya siasa vimepigwa marufuku itabaki ccm tu, atakaye nijaribu atakiona cha mtemakuni
Kumuomba Mungu tu bila kumwambia ukweli muhusika, ni sawa na kumruhusu aendelee kuvunja sheria na kukanyaga katibaTuombe mungu aepusha haya mashaka!
kazi kweli kweli!atakuja kusema kuwa hakuna raia kusafili kwenda mkoa mwingine,coz kama ukisafili kazi atafanya naniiii