Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
CHATGPT Bingwa wa AI !!!!
💭 Je Unapenda kubadilisha Picha yako kuwa kwenye muundo wa Katuni ?? Wengi wanakuambia nitatumia sijui adobe Photoshop? Cartoon maker ??
Hapana 👎🏾, unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.
Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
🔅 Studio Ghibli
🔅 Dragon Ball Z
🔅 Pixal
🔅 SimpSons
🔅 Minecraft
🔅 LEGO
🔅 Tim Burton
🔅 Original Photo
📡 Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kubadilisha kuwa Katuni
Andika Prompt yoyote unayotaka picha au video yako kuwa Katuni Gani ??
Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?
Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote 😋
Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@bongotech255
ChatGPT