Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

Daah.
Umenikumbusha mbali Sana.
Niliajiriwa sehemu nikiwa fresh from college.
Kabla ya kumalizia kadigrii jalalani(UDSM) nilisoma CISCO CCNA pale UCC Main Campus nikaishia njiani majukumu mengi. Nilipendelea kuchapa code(programming) sasa ajira zetu za kibongo ukiwa supervisor au manager inatakiwa ujue vyote Database, Software Development, na networking.
Nikakutana na huo mfumo wa PC ya kawaida kuwa configured kuwa router.
Ilitumia FreeBSD na pfSense. Nilikuwa sijui chochote kuhusu hiyo router ilibidi niingie mtandaoni kujifunza. Nikaja kuwa mtaalamu nawanyanyasa department zingine wakizidisha matumizi (video streaming, YouTube n.k.).
Nilikuwa free sana kuweka filter za hatari firewall n.k.
Nazipiga ban device zinazo kula bandwidth kubwa, n.k.
Tulitumia LAN na wireless kwa pamoja. Naweka range flani ya IP address kwenye Dynamic IP zile za WiFi na zingine Static IP addresses
Sasa nimekaa mbali na hizo makitu nimeanza kusahau.
Nilitumia pfsense kazini kutengeneza Sandbox DMZ VLANS kwa ajili ya vifaa na systems zilizokuwa outdated kwenye OS zao
Sababu vifaa kama CT na MRI Scanner unakuta bado zinatumia Windows XP au Windows 7
Kwahiyo nikapewa kazi ya kuzitoa kwenye mfumo wa Network unatumika kazini lakini bado ziendelee kutumia hizo hizo switch zinazotumika na network ya kawaida ambazo nyingi ni layer 2 switch
Baadae baada ya kubadilisha kwenda Layer 3 switches ambazo humo zinakuwa na routers tukafumua pfsense zote na sasa unacheza na firewalls kutengeneza DMZ VLAN kwenye hizo hizo Layer 3 switch
 
Interesting!
There is no limit of what you can do or achieve with Unix,Linux, pfSense technologies provided you have strong background of those particular technologies.
I'm really inspired by your testimony.
Excellent work. Sometime in the future someone will come here and read it, then redeploy it in his/her works.
I'm sure you will save someone's day..
 
Back
Top Bottom