Unasumbuka na nafasi ndogo nyumbani? Umekuwa ukitamani fanicha ambazo hazichukui nafasi kubwa lakini bado zinapendeza na kudumu?
Afro Eco Wood Designs imekuletea suluhisho: fanicha za kisasa zenye ubunifu wa hali ya juu zinazokufaa wewe unayeishi kwenye nyumba yenye nafasi ndogo – iwe ni chumba kimoja (self-contained), studio apartment au nyumba ndogo ya familia.
Tunatengeneza:
Unahitaji fanicha ya aina gani? Tunabuni kulingana na mahitaji yako binafsi!
Wasiliana nasi sasa upate ushauri BURE kabla ya kufanya mabadiliko nyumbani.
Afro Eco Wood Designs – Tunabadili Maisha kwa Ubunifu.
Mawqsiliano : 0753322920
Morogoro Tanzania

- Meza zinazokunjwa (foldable)
- Vitanda vya chini vyenye droo za kuhifadhia vitu
- Makabati madogo yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi
- Racks na shelves zinazopandikizwa ukutani
- Viti vinavyoweza kutumika kama sehemu ya kuhifadhi (multi-functional)