Badilisha Modem yako kuwa universal

Badilisha Modem yako kuwa universal

kafuroniyonkuru

New Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Tunarekebisha modem za internet ili ziweze kutumia mtandao wowote (laini) wa simu za mkononi kwa bei nafuu sana.
Tsh 10000 tu, kama zitzkuwa zaidi ya moja bei inapungua. Karibu sana 0782 458197
 
Tunarekebisha modem za internet ili ziweze kutumia mtandao wowote (laini) wa simu za mkononi kwa bei nafuu sana.
Tsh 10000 tu, kama zitzkuwa zaidi ya moja bei inapungua. Karibu sana 0782 458197

umengia choo cha kike nenda jukwaa la hayo mambo
 
umengia choo cha kike nenda jukwaa la hayo mambo

hawezi kwenda huko kwani ndiko alikupewa hiyo link mpaka aka download hiyo software kifupi ujanja wote kaupata huko sasa si atachekesha akifanya hivyo
 
Mkuu humu ni nafasi za kazi tu ila kama unataka biashara nenda jukwaa la matangaazo na biashara, ila ukitaka kupata ujuizi zaidi na kujua kuchakachua aina nyingi za MODEM basi uingie Jukwaa la science na Technologia au Jf STORE , kwa maana mambo haya hutolewa bure kabisa katika majukwaa hayo.
 
jieleze unafanya online au? maana JF ni ya dunia nzima?
 
hii ndo Tanzania bhana mtu anafanya kitu illegal na bado anatangazia umma.
 
Utazichanga za wajinga ile mbaya. Hongera kwa ujasiriawizi.
 
Kilichonifanya nifungue hii thread ni kutaka kusoma majibu ya wadau ili nicheke....maana najua jamaa kachemka.watu wameacha zamani sana kuziuza izo vitu hapa JF
 
Tunarekebisha modem za internet ili ziweze kutumia mtandao wowote (laini) wa simu za mkononi kwa bei nafuu sana.
Tsh 10000 tu, kama zitzkuwa zaidi ya moja bei inapungua. Karibu sana 0782 458197
moderm yangu haina na haitumii line vipi nayenyewe inawekana kurekebishwa?
 
Tunarekebisha modem za internet ili ziweze kutumia mtandao wowote (laini) wa simu za mkononi kwa bei nafuu sana.
Tsh 10000 tu, kama zitzkuwa zaidi ya moja bei inapungua. Karibu sana 0782 458197

Mbona sisi tunazirekebisha kwa tsh 3,000/= yaani ni buku tatu tu...! na unaweza kuingiza line yoyote tu...! plz call 0786 666777.
 
Mbona hayo maujanja hua yanatolewa bure>>> wapi Sharobalo na Ethumiza?
 
mbona shiling 5000 tu kariakoo vipi mkuu nipo kiwalani nikuletee wapi kwa hiyo bei ya 5000 kama kaliakoo unilekebishie
 
Back
Top Bottom