mie mmbeya tena??
Umesahau ulipotoka eee?
yes..kwa hili umefanya umbea ndio..ss una mwita ladyfurahia kwan mm nilikua na tresspass?..sijasahau nilikotoka..lol
Tunamsuta na matarumbeta, dogori au taarabu?
kumbe nini'??
Dedikesheni yangu alaf anafanya ya kijiji...
mwite arudi..unaonekana umemmiss sana Zion Daughter..waweza pungza muda wa kukaa huko?
haya yangu macho..
soma post zake alivyokua anachat na mumeo...
Hatuaminiani besti!??