Badilikeni wadada

aya ya kwanza sababu najijua nko kundi gani..najijua mi ni nani so nimeongea ukweli

kujisifia dhambi?

nlitaka kuonyesha sio upande wa wanaume tu ndo wana malalamiko hayo.hata sisi wanawake pia

ila MO sipendi uchochezi wako.kila ntapocomment unanichokonoa..sipendi ujue
sijaolewa sababu sijapata anaejielewa
 
Hii post imekuja wakati sahihi..
Wengi wamekuwa waiomba kupata mume mwema... lakin ukiwaona wanavyo jianika social media.. hawafai hata kuitwa gf mwema.
Jirekebisheni kwanza tabia zenu wadada.. ndipo Mungu atamleta huyo mume uane mtarajia.
 
utulieee

napima uvumilivu wako mi mwenye sijaoa sio kwamba wanawake hamna ila nachagua anaejielewa
 
Wanaume wapo wanaojielewa na wapo wasiojielewa.

Wanaojielewa tupo.. sana tu..
Na utaona tabia za tofauti... na wengine ambao ni vichwa moto
 
wasipofanya hivyo watapendwaje bhanaaa ,wengine ndo lifestyle yao but pia wapo ambao wanajistiri ndo wanapiga pichaa, shida ni wale ambao wanavaa ovyo hadi shombo kuwaangalia ndo unasemea haoo

shida kwa wakaka tuu hapo ndo doubt inakuja
 
usajili umefungwa kwa mda usiojulikana maybe baada ya mwaka mmoja utafunguliwa
duh unaona sasa wife material mnafunga usjal wanabak hao wabinua makalio
 
Wanafikiri ni sifa kupiga mipicha mapaja wazi , matiti wazi tena hawaachi kuonyesha mbinuko wa nyuma. Hatuoi wauza sura , mtaishia kumegwa tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…