Sa tufanyeje ili tusife?
Jerry so kufa bali manake ni kwamba usisubiri kupelekwa kanisani ukiwa kwenye jeneza! Nenda kanisani ukiwa mzima na kwa hiari yako! Hii ndo ulikuwa ujumbe
Hahahahaa mpwa wameahirisha sikukuu yao aisee
Mpwa umekasirika mpaka spelling umekosea