sima salva official JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 210 Reaction score 90 Sep 14, 2017 #1 Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi
Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Sep 14, 2017 #2 Khaaa kumbe hapendezi. Mmakonde njoo uone maoni ya mashabiki huku.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 14, 2017 #3 Naunga mkono hoja
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 Sep 14, 2017 #4 Naunga mkonyo..
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Sep 14, 2017 #5 Kweli kabisa huenda hizo bleach ndiyo zinamvuruga akili kabisa
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,642 Sep 14, 2017 #6 sima salva official said: nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Hii ingekuwa poa zaidi kama ungemuendea IG moja kwa moja muhusika .
sima salva official said: nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Hii ingekuwa poa zaidi kama ungemuendea IG moja kwa moja muhusika .
Rogart Ngaillo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 928 Reaction score 1,954 Sep 14, 2017 #7 ANAMUENZI EX WAKE
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Sep 15, 2017 #8 na kweli hapendezi
ellyrehema JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 1,197 Reaction score 1,018 Sep 15, 2017 #10 Mwenyewe nazichukia sana
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,257 Reaction score 22,134 Sep 15, 2017 #11 ellyrehema said: Mwenyewe nazichukia sana Click to expand... We ndio mwenyewe?
Mirlz B Matthew JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 2,217 Reaction score 3,112 Sep 15, 2017 #12 msaidie hela ya saluni kashazoea ganda la ndizi
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 15, 2017 #13 Daudi Mchambuzi said: Kweli kabisa huenda hizo bleach ndiyo zinamvuruga akili kabisa Click to expand... Zinafanya hadi akili kuwa nyeupe.
Daudi Mchambuzi said: Kweli kabisa huenda hizo bleach ndiyo zinamvuruga akili kabisa Click to expand... Zinafanya hadi akili kuwa nyeupe.
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,340 Reaction score 16,909 Sep 15, 2017 #14 Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Sep 15, 2017 #15 sima salva official said: nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Picha plz,huyo ni nani? Mwanasiasa au
sima salva official said: nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Picha plz,huyo ni nani? Mwanasiasa au
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,069 Reaction score 184,796 Sep 15, 2017 #16 Ujumbe utamfikia... Usikute kuna mtu anamsifia vile alivyo... cc: mahondaw
MAXY MUSAY JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 480 Reaction score 203 Sep 15, 2017 #17 sima salva official said: Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Naunga Mkono. Anafata kodi za Wizkidayo
sima salva official said: Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi Click to expand... Naunga Mkono. Anafata kodi za Wizkidayo
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,671 Sep 15, 2017 #18 dem boy said: Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee Click to expand... Yaani na ule weusi kama kajitwisha uvungu wa le mburulaz
dem boy said: Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee Click to expand... Yaani na ule weusi kama kajitwisha uvungu wa le mburulaz
H Hoist Member Joined Jul 4, 2017 Posts 21 Reaction score 28 Sep 15, 2017 #19 dem boy said: Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee Click to expand... Nimecheka sina mbavu!
dem boy said: Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee Click to expand... Nimecheka sina mbavu!
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,298 Sep 15, 2017 #20 Mm nashanga wasanii kwani kuwa msanii mpk ujibadili???