nimeona audio.images.video.bootanimation.zip.boot ringtone. na zip ya kuzma na tone yake
Fungua file la audio alaf fungua ringtune utaziona
1.nenda ka download ringtune unayoitaka alaf hifadhi kwenye memory
2.fungua kwenye ringtune za sim kama nlivo kuelekeza mwanzo
3.chagua lingtune unayotaka kuifuta iguse kwa muda mrefu alaf bonya permission na kalili au note pembeni tiki zilivokaa
4.nenda kwenye storage file .fungua mahali ulipohifadhi downloaded ringtune
5.ipe jina la ringtune unayotaka kuifuta katika system media bila kukosea
6.i copy na uka paste kwenye system ambako ringtune za sim zinakaa
7.futa ringtune ambayo jina lake limetumiwa na lingtune mpya
8.ibonye kwa muda mrefu ringtune mpya alafu chagua permission na weka vitiki kama ile ringtune ya mwanzo
9.zima na washs sim yako itakua tayari
Note:kuwa makini na hio app sababu changes zozote utakazo zifanya haziwezi zikarudi hata ukifanya factory reset/factory restore