MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Habari wadau, nahitaji nembo/ badge ya BMW mwenye nayo inbox au whatsapp tafadhali namba 0655568588
Out of topic ila nipeni Msaada juu ya utofauti wa maneno haya BADGE,SEAL na LOGO
Badge na logo ni kitu kimoja but seal ni ile raba au mpira unawekwa ktk milango ya gari au vioo kuzuia maji nk.Out of topic ila nipeni Msaada juu ya utofauti wa maneno haya BADGE,SEAL na LOGO
Seal ni nembo ujuaji mwingi kumbe hamna kitu. Siku nyingine jaribu kuoanisha mada na jibu ulilonaloBadge na logo ni kitu kimoja but seal ni ile raba au mpira unawekwa ktk milango ya gari au vioo kuzuia maji nk.
Logo ni nn fanya google utaelewa tuSeal ni nembo ujuaji mwingi kumbe hamna kitu. Siku nyingine jaribu kuoanisha mada na jibu ulilonalo
Habari wadau, nahitaji badge ya BMW wasiliana nami whatapp number 0655 568 588