huyo blauzi nyeupe kavaa sidiria? mbona siioni.
.....
Umesema sawa kabisa shem.
Binafsi huwa sijutii kufahamiana na mtu, nafahamu kila mtu ambaye Mungu amenijalia kufahamiana naye ana kitu fulani ambacho kitanifunza katika maisha yangu, kiwe kizuri au kibaya.
Ukweli siyo wote tunaojaliwa kufahamiana nao wanaweza kuwa na fikira tulizo nazo. Hata wale ambao mnakubaliana kwa mambo mengi kuna mambo machache ambayo mtahitilafiana...... hili ni kwa kila binadamu linatokea, huwezi kuwa na amtu ambaye mnakuwa mnaendana kwa kila kitu.
Tatizo ambalo wengi wetu tunalo ni kutaka wale tuliokutana nao wabadilike na kuwa kama sisi, kitu ambacho hakiwezekani. Kikawaida mtu binafsi unajiona upo sahihi kuliko wengine, na ungetamani watu waige toka kwako, tunajisahau kuwa na sisi ni binadamu na hatupo perfect.
Nakubaliana nawe shem, kama mtu unaona yule uliyenaye makwazo ni mengi kuliko maelewano basi ukajitenga naye ili upate amani ya moyo. kwa kuendelea kuwa na mtu ambaye wakati wote anakufanya ukwazike unakuwa hujitendei haki.
Nimefurahi kuona kwamba umeelewa point yangu....Umesema sawa kabisa shem.

always nipo halisi Eiyer.....Sasa nauona uhalisa wako!
ha haaa, umesahau mimi ni kimbilio la wengi?Nimefurahi kuona kwamba umeelewa point yangu....
Ahsante sana Fixed Point
always nipo halisi Eiyer.....
au unamaanisha uhalisia gani?
kumbe wengi mlikuwa mnammiss Fixed Point? mbona hamkuandamana?I like the old Fixed Point than the new @FP !!
urafiki wa makundi siupendi mimi yaani mko group moja kisha ndani ya group wawili au watatu wanjitenge na kunena au kuteta mbali na wewe yaani mambo haya yalinishinda tangu niko primary rafiki mmoja tuu na akileta za kuleta nae namtimua sitaki unafiki mie. Yaani huyo mdada mwenye blouse nyeupe alivyo mzuri na anavotia huruma wenzake wanamtenga sijui anasubiri nn hapo? ushoga kazi sana mie ulinishinda kabisaaaa
mimi naamini kuna level na sababu ya mapungufu naweza kuyavumilia, zaidi ya hapo ni kujiumiza.....Nimependa sana pale uliposema kuwa kule kukerwa na mapungufu ya wenzio ni ishara ya wewe kuwa na mapungufu
'
Huu ni ukweli mkubwa sana,hatujui kuwa wote tumepungua kama tumepungua wote hatuna budi kuvumiliana
'
Kama tumeshindwa basi tuachane kwa amani kwenye ndoa,urafiki n.k sio ugomvi
'
Tupendane kiukweli!
Ngoja ntarudi