Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,304
- 271,566
Tumeambiwa humu mara kadhaa kwamba ccm ina wanachama lukuki Nchi nzima, N.a. ushahidi mwingine ni Kura alizopata Hangaya mil 32 (Yaani zaidi ya nusu ya Watanzania wamemchagua)
Sasa mamilioni haya ya watu mbona ndio mtaji wa wasanii! Kwanini Wasanii wanalialia n.a. kulalamika kwamba wamepigwa Chini? Au hizi takwimu za Idadi ya Wanaccm na ile figure ya Mwambegele ni za Uongo?
Wasanii msitupigie Kelele Mfuateni Kihongosi ahamasishe mamilioni ya wanaccm wawaunge mkono.
UJUMBE: KWA MUJIBU WA MAANDIKO MATAKATIFU LAANA YA USALITI INATAFUNA HADI KIZAZI CHA 4