Bad news kwa vilabu vinavyoshirki ligi ya Vodacom: TRA wazuia akaunti za TFF..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
TRA wamezuia akaunti zote za TFF ikiwamo ile yenye hela za kuendesha Ligi ya Vodacom.. TRA wanadai kulipwa kodi ya mishahara ya waliokuwa makocha wa timu ya Taifa kuanzia kwa Mbrazili Maxio Maximo mpaka huyu wa sasa hivi..

Source: Radio One..
 
Kwani katika hiyo mikataba ya hao makocha ni nani alikuwa mwajiri? Kama ni TFF basi wao ndio walikuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa kodi inalipwa.
 
Hiyo ni aibu ya Tenga, na hiyo ndiyo dhambi ya kuwa mbaguzi na kupendelea timu fulani.

Aibu yao TFF.
 
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini ou.PNG ou.PNG dc.PNG nomo.PNG gg.PNG
 
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chiniView attachment 471116 View attachment 471116 View attachment 471117 View attachment 471120 View attachment 471119
Acha ujinga, anzisha uzi wako
 
asane brother,.. huna group la whatsapp?
 
Back
Top Bottom