Bad News kwa MMU

Bad News kwa MMU

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,391
Reaction score
1,458
Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.

Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.

The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kunapunguza uwezo wa kufiri."

Hii sio habari njema kabisa hasa katika Taifa kama letu tunaojipambanua duniani tuna ndoto za kuwa taifa la uchumi wa kati ambao msingi wake ni kukumbatia maarifa, ubunifu na teknolojia na uwajibikaji.

Ukitazama kwa undani watu wote mashuhuri duniani wakiwemo, great leaders, wanafilosofia, wanaharakati na scientists wengi wao either walikua matowashi au hawakuwahi kuoa kabisa au walikua na mke mmoja tu.

Mfano mzuri ni Jesus, mtume Paulo, Issac, Plato, Socrate, Newton, Dr Martin Luther etc

Kupenda chini kunapelekea akili kuwaza ya chini tu ..

Karibuni tujadiri hili
 
Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.

Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.

The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kinapunguza usezo wa kufiri."

Hii sio habari njema kabisa hasa katika Taifa kama letu tunaojipambanua duniani tuna ndoto za kuwa taifa ya uchumi wa katika ambao msingi wake ni kukumbatia maarifa, ubunifu na teknolojia na uwajibikaji.

Ukitazama kwa undani watu wote mashuhuri duniani wakiwemo, great leaders, wanafilosofia, wanaharakati na scientists wengi wao either walikua matowashi au hawakuwahi kuoa kabisa au walikua na mke mmoja tu.

Mfano mzuri ni Jesus, mtume Paulo, Issac, Plato, Socrate, Newton, Dr Martin Luther etc

Kupenda chini kunapelekea akili kuwaza ya chini tu ..

Karibuni tujadiri hili
Ngoja waje, tuyajadili
 
Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama.
Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa.
The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi kinapunguza usezo wa kufiri."
ni kweli kuna punguza usezo wa kufikiri..............
mfano mzuri ni OP
 
Mmh hao watafiti naona wameanza kupingana tena maana wengine walidai kufanya mapenzi kunafanya akili iwe active.
 
Hiyo itakuwa siyo "Proper jigijigi" inayopunguza uwezo wa kufikiri aisee.
 
Aiseeeeeeee sina mawazo ya kugundua chochote vilivyogunduliwa na wengine vinatosha mkuu wacha nijilie utamu
Aaaaaa
Mzee wa Zero IQ
Wewe mkuu ulilifahamu hili mapema sana ukajipa na jina sahii kabisa
 
Back
Top Bottom