Bad Luck?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,684
Kwa nini nakuwa na bahati ya kukutana na wanawake ambao hawaniheshimu? Shida ni nini .. Ama niwe natembeza kichapo
siongelei wadada wa hapa chit chat and JF kwa ujumla ..
 
sababu unajirahsisha mno kaka s i

Sijirahishi ndugu yangu...ila ni tatizo nataka nianze kutoa kipigo .. Usipotoa kipondo ndio anakuona kama mwenzako .. ''Nature ama ?''
 
Tembeza kichapo watakuheshimu...ila yawezekana nawe hujihehimu that's why nao...
 
Hicho kichapo ni bora uwachapenao by using Bakoranyama, lakini kichapo cha bakora hii ya kukata kwenye mti ?
Haiyumkini
tembeza bakorafinyango heshma itapatikana!
A'laaa!
 
Hicho kichapo ni bora uwachapenao by using Bakoranyama, lakini kichapo cha bakora hii ya kukata kwenye mti ?
Haiyumkini
tembeza bakorafinyango heshma itapatikana!
A'laaa!
Jg Beibe Nasty hajambo?
 
Hicho kichapo ni bora uwachapenao by using Bakoranyama, lakini kichapo cha bakora hii ya kukata kwenye mti ?
Haiyumkini
tembeza bakorafinyango heshma itapatikana!
A'laaa!

Mkuu wangu ungejua usingesema hivi....hio bakora inatembea kwa zaidi ya 180 % sasa ndio natafuta mchawi bado
 
jichunguze aina ya wanawake unaowazimia..... Inawezekana tatizo lipo kwenye uchaguzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…