Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jun 3, 2011 #1 Bacteria wanne(4) waliwekwa ndani ya kopo.kila baada ya dakika 1,kila bacteria hujigawa vipande viwili.Baada ya dakika 10,kopo lilijaa bacteria.Kopo lingine liliwekwa bacteria 8 kama kianzio.kopo hili litajaa kwa muda wa dakika ngapi?
Bacteria wanne(4) waliwekwa ndani ya kopo.kila baada ya dakika 1,kila bacteria hujigawa vipande viwili.Baada ya dakika 10,kopo lilijaa bacteria.Kopo lingine liliwekwa bacteria 8 kama kianzio.kopo hili litajaa kwa muda wa dakika ngapi?
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,941 Jun 3, 2011 #2 Assuming hivyo vikopo ni of the same size..then baada ya dakika tisa, kopo hilo litajaa!
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jun 3, 2011 Thread starter #3 Mentor said: Assuming hivyo vikopo ni of the same size..then baada ya dakika tisa, kopo hilo litajaa! Click to expand... Haswaaaa!
Mentor said: Assuming hivyo vikopo ni of the same size..then baada ya dakika tisa, kopo hilo litajaa! Click to expand... Haswaaaa!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,941 Jun 3, 2011 #4 Jaguarpaw said: Haswaaaa! Click to expand... Jamani..hata ka-thanks!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!