SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

SOFTWARE Backrow Rush: App ya Drafti - Checkers/Draughts Online

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
463
Reaction score
468
Nimetengeneza app ya Kucheza Drafti Mtandaoni pia unaweza kucheza na rafiki yako kwa kutumia Game Code. Inapatikata Google Play store, itafute inaitwa Backrow Rush

Screenshot_20260220_090255.png
 
Nikupongeze kwa idea nzuri

Ila inabidi uifanyie maboresho kidogo

Game yako 'king' haitembei inacheza kama kete ya kawaoda wakati imapaswa kutembea
 

Attachments

  • Screenshot_20260306_210637_Backrow Rush.jpg
    Screenshot_20260306_210637_Backrow Rush.jpg
    133.1 KB · Views: 2
Nikupongeze kwa idea nzuri

Ila inabidi uifanyie maboresho kidogo

Game yako 'king' haitembei inacheza kama kete ya kawaoda wakati imapaswa kutembea
Asante kwa mrejesho. inategemea Aina ya sheria uliyochagua. Inaonesha umechagua sheria ya American, ila kwa Sasa nimeliboresha sana nimeongeza sheria nyingi ikiwepo ya Tanzania, chagua hapo ya Tanzania utaweza kucheza kwa sheria zetu. Pia nimeongeza sehemu ya mashabiki wanaweza kuangalia mechi live vinazoendela kuchezwa. pia unaweza angalia game zilizopita pia.
Screenshot_20260321_125003.png
 
Game limeboreshwa sana. Kwa sasa unaweza kufanya yafuatayo
  1. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani katika uwanja wa ushindani wa mtandaoni.
  2. Cheza na Marafiki – Unda mechi yako binafsi na mshirikishe rafiki yako (game code) ili mcheze pamoja kutoka popote mlipo.
  3. Aina Mbalimbali za sherka (Game Variants) – Chagua sheria unazopenda, ikiwemo ya Tanzania, Kimataifa, Marekani, na nyinginezo nyingi.
  4. Cheza dhidi ya Akili Unde (AI)
  5. Ubao wa Wanaoongoza (Leaderboard) – Shindana na wenzako ili kupanda viwango na kuwa bingwa namba moja wa Kimataifa au Tanzania.
  6. Marudio ya Mechi (Match Replays) – Tazama michezo yako ya awali au michezo ya wachezaji bora ili kujifunza mbinu mpya na kuboresha uchezaji wako.
  7. Hali ya Kutazama (Spectator Mode) – Tazama mechi zinazoendelea moja kwa moja (live) kati ya wachezaji wengine.
Screenshot_20260321_021928.png
Screenshot_20260321_025045.png
Screenshot_20260321_125003.png
Screenshot_20260321_023127.png
Screenshot_20260321_021953.png
Screenshot_20260321_024942.png
Screenshot_20260321_025544.png
 

Attachments

  • Screenshot_20260321_025045.png
    Screenshot_20260321_025045.png
    800.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom