Unavyozidi kuuliza na kujieleza ndo unazidi kuonekana jinsi usivyojua umeme... au unajuwa kwa kiwango cha chini sana
Hivi unajuwa friji in watts ngapi?
unajuwa vifaa vya sola system unaweza ukavitumia kufanya hayo unayodhani hayawezekani..?
Jua kuwa kuna source sita za umeme na zote zinaweza kuwasha chochote ... tofauti ni gharama tu kwenye kuwasha kitu kimoja... kwa mfano kuwa sha friji kwa solar system gharama tofauti nabkuiwasha kwa umeme wa maji au chemicals
We jamaa bna una bishana Na Holder wa Beng Kutoka FOE now Coet mtu na Full knowledge ww umekalia assumption tu nakushauri kama hutaki kutulia na kupigiwa pindi ebu vunga tu mana unatia aibu the more unavyo explain
Ikoje ikoje mkuu yani inapokea source mbili as input but inatoa maji as Ac si ndio? sasa reverse ya kucharge battery kwa hio battery inafanyikaje? let say tanesco ndo yuko kwa hewa ina maana betri itaanza kuchaji? je Tanesco akitoka battery anaanza kufeed load? Pana change over kwa ndani na hio switch je user naweza notice kuwa now katoka huyu kaingia huyu?
Ziko backup original na za kumode ambapo inaungwa na battery size ya battery inategemea mahitaji yako. umeme wa tanesco ukitoka kwenye mita unapitia kwenye hiyo backup kwenda kwenye DB. umeme wa tanesco ukiwepo unatumika direct huku unacharge battery ukikatika inaswitch automatic battery zinaendelea kutumik.. unakuja usijue kama umeme ulikatika.

Maelezo yako yapo sahihi... unakuwa na inputs mbili, battery na Tanesco, when TANESCO goes out battries will supply the load. When TANESCO comes back, the inverter charger will charge the battries. The circle will.repeat