Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,975
Wadau habari za Jumamosi?
Naomba kujua kama kuna fundi wa umeme humu JF anayeweza kunisaidia kujua ni vifaa gani vinafaa kwa ajili ya kuhifadhi umeme na kutumia pindi umeme utakapokatika.
Nina nyumba ya vyumba 6,sebule,jiko na dining.Nahitaji kupata mfumo ambao utaniwezesha kufifadhi umeme, na kutumia kuwasha taa,kuangalia TV, kutumia computer na kuchaji simu.
Niliwahi kuona miaka ya nyuma nyumbani kwa mtu kafunga inventer,betri za gari nk,sina uhakika wa vifaa husika,kwa hiyo naomba mwenye kujua anipe maelezo na akiwezekana, aje kunifungia mara tutakapoelewana.Ntafurahi kuona mchanganuo wa ununuzi wa vifaa na labour charge yako.
Nyumba ipo Arusha.
Asante sana.