Back from Likizo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Madame B njoo pande hii.. Naona limbwata limeeksipaya huku.. Yaani Arushaone anatongoza hadharani..! Anakudhalilisha sana shem wangu Madame..

Yaani huyo Arushaone, kaniomba msamaha wa kurudiana na mimi kwa ahadi ya kujirekebisha, kumbe anacheza na akili yangu eeeee!!!!!!!!
Shem sosoliso ukimuona popote pale, nakupa ruhusa ya kumkunja.
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyo Arushaone, kaniomba msamaha wa kurudiana na mimi kwa ahadi ya kujirekebisha, kumbe anacheza na akili yangu eeeee!!!!!!!!
Shem sosoliso ukimuona popote pale, nakupa ruhusa ya kumkunja.

Mtalaka hatongozwi bibi weee.... we mrudiane kimya kimya tu....

Mie na my x huzbandi huwa tunapiga kimya kimyaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenyu binafsi wana Chit Chat..

Kwa mara nyingine nimerudi tena kutoka likizo...

Niliwamiss sana wote wote..

From now nipo kwa saaaaaaaaanaaaa!!!!!!!!!!

Cheer

:humble::humble::humble:

CL

karibu ex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…