Duh Asprin sikuwezi aisee!!! Anafanana na marehemu MARGARETH THATCHER (RIP) copiraiti.
Hivi umewaambia tulivyokula raha kule Zenj?
Mtoto unaita lol
Missed you and welcome back charminglady
Excuse & sorry ! Hiyo Sredi haiko Siasa, ipo "Habari na Hoja Mchanganyiko" Headin "Mtanzania afia China baada kuripukiwa madawa......"
CL karibu tena jamvini! Thanx kwa juzi, I really appreciate what you gave me.
Woow welcome back my boss charminglady bila shaka.................................................
kwi kwi kwi kwi Arushaone.. labda mapacha wa kufanana na marehemu.. charminglady pitiliza ndani ukakaguliwe na mtaalam wa kukagua aliepewa leseni bwana Bujibuji..
charminglady huyu lawyer aliniPM akisema kuwa alichotaka kusema ni kuwa .....utakubali kuwa mke wa Arushaone??Senkyu sana my lawyer... hebu malizia statement yako!!!
Senkyu sana my lawyer... hebu malizia statement yako!!!