CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Karibu sana charminglady!
Umetuletea nini?
CHARMy welcome back!
Japo hujatwambia hiyo leave, ilikua unpaid time off work to care your new baby (martanity) or otherwise!
Hebu chepuka kule Siasa kwenye Thrade uliyokoment kumhusu Mkumbukwa R.I.P then kuna maneno yangu chini ya komenti yako.
Nway beater unijibie kwa huku c.c. , because kule mi hua siendiendi sana!
Hiyo likizo we acha ilikuwa na mambo mengi... haya umesemaje kule ili nikujibu hapa?
Habari zenyu binafsi wana Chit Chat..
Kwa mara nyingine nimerudi tena kutoka likizo...
Niliwamiss sana wote wote..
From now nipo kwa saaaaaaaaanaaaa!!!!!!!!!!
Cheer
:humble::humble::humble:
CL
Naona umerudi na mapozi. Huko ulikokuwa hakukuwa na mtandao?Nimewaletea :mimba: tu....
Maneno marefu bwana, kuyarudia yote kazi, namie niko safarini! Kwn kunahitajika fare ili ufike!
Au hutaki tu! Basi kama itakusumbua.
Naona umerudi na mapozi. Huko ulikokuwa hakukuwa na mtandao?
Kiukweli nimelikubali pozi lako jipya. Kijiji hakiongopi.
Vipi vijana wetu wanaendeleaje?Yaan we acha tu, ila baada ya week utanisahau ati!!!
Hivi umewaambia tulivyokula raha kule Zenj?Hiyo likizo we acha ilikuwa na mambo mengi... haya umesemaje kule ili nikujibu hapa?
Vipi vijana wetu wanaendeleaje?
Ok. ngoja nkacheck