Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #61
Nalijua hilo mlongo wangu, usijali wala nini, you know me now........dada mkubwa u owe me big time oooh!
BTW hivi muda huu muda uliopost ndo akili zinakuwaga nyingi eeeeh?
chechezeya post za bila kuambiwa ''rudi kwanza>............'' Asprin we ndo mana ni mwanafunzi wangu mpendwa katika hili somo la kuspeculate mambo!hapa umewapiku wengine wooote !A + kwako kwa muhulu huu!lol
ha haaaaaaaaaaa, mamako naye bwana, huyu namsamehe sababu umri umeanza kumtupa mkono, lol!
ha haaaa, KakaKiiza kweli yale majungu uliyokuwa unayapika yalisaidia kunikimbiza, lol!Dah!!!Opppppppppppppppppssssssss ngoja nikutizame vizuri yani wewe mtoto FP yani umeisha hivi???Nini kimekukuta huko kwenye asali ya mwezini aka honeymoon??Hukuwepo na shangazi yenu kuwapeni somo maana huwa mnadhani mnakomoa kumbe mnajindana na njia iliyowaleta!!Ila Karibu sana tunakupenda tulikukumbuka sana ila nashukuru kwakipindi chote cha udhuru nilikuwa na watu hakuharibika kitu wote hawa tulikumiss...... Baba_Enock, AshaDii, Arushaone, The Boss, Asprin, KakaKiiza, Nicas Mtei gfsonwin, King'asti, mwaJ, Kongosho, Ciello, lara 1, cacico, FirstLady1, MwanajamiiOne, na wengine woote Walikuwakilisha vema)Ila TANMO mshahara wa dhambi ni mauti wewe na Erickb52 mtu chake unadhani mlichonifanyia kwa Preta nikizuri??namimi nilifanya kampeni ya chini chini nikaakikisha jimbo lako linang'olewa sasa you should scratch from...0 kudadadeki!!watu people!:bange::drum::drum::whoo::cheer2::target::target::target::target::target::target::censored:
yaani hata ukinidiss wala sina shida kabisaaaaaaaaaaaa. ninaye wangu wa kumoyo ananipa raha vibaya sanaHaiwezekani aisee!
Mbona ngumu? Huyu huyu FP au nani? Kama amekutosa hata mi namdiss mazima hawezi kukufanya wewe kuwa mtu wa kuumizwa other wise ajiandae kula ban kila wiki....!
stevoh, nimefarijika kusikia nilikuwa nakumbukwa kwa kipindi chote hicho. Asante sanaIts good to see you so good to see you ooh how i have missed since you have been gone. You have cross the ocean travel through many land its good to see you back at our home.
ha haaaaaaaaa, huyo lara 1 utamuweza?
Heeee kwani ana nyonda ya zamani?jamani naomba mniache.... Erickb52.. KakaKiiza....TANMO na mtu chake....kwa taarifa yenu nina nyonda mpya.....hapa mtasoma tu namba.....nitulie nimekuwa tui la nazi.......kwendeni zenu huko.....hamnitishi wala hamnibabaishi.....alaaaaaaaa......he he he....wewe unaekanda moyo ndio nakuonea huruma.....
ha haaaaaaaaaa, nilikutoroka maana huko hatukuhitaji threesome, lol! maana wewe ulivyo king'ang'anizi ningekuaga ungelazimisha kwendaUlinitoroka kwa nini??
Tulikubaliana niende na wwe hanemuni niwe namsaidia kushikilia baadhi ya viungo? Hasa mdalasini
Umeona eeh, babu!Raha jipe Mwenyewe @FP. Kile ulichomiss ni rational opportunity cost.
Heri yako umejichukulia chako mapema.
yaani wewe ndo unajua rules of the game, lol!muda kama huukwa honeymooners ndio wenyewe