Huyu jamaa kwa kweli mie simuelewi kabisa. Yeye baada ya kutemwa angesubiri sana sana miaka miwili tu lakini miaka 13 duuuh!!!! Kuna haja ya kumuomba Dr wa kweli MziziMkavu amcheshie mizizi ya mhina iliyochanganywa na mkojo wa mjusi, manyoya ya bata na kwato za pundamilia ili umsaidie vinginevyo atakulaumu sana kwa kumkatishia mapenzi yake kwako.
ha haaaaaaaaa, kama unasita basi ipotezee mlongo wangu, lol! nani kanuna?.............dada mkubwa hii post niseme neno au nibanish ban!ahahahahahhahahahhahahahha wala sijaiona mimi hii!
HAKIKA!
ndo maana inabidi ushikamane unaposhikwa rafiki....
raha yake huwezi kulinganisha na chochote
ha haaaaaaaaa, kama unasita basi ipotezee mlongo wangu, lol! nani kanuna?.............
ahahahhahahhahahhhahah !HATUACHIKI SIYE![/QUOTE]
alianza yeye lakini rafiki, mimi nilimalizia tu......Huyu jamaa kwa kweli mie simuelewi kabisa. Yeye baada ya kutemwa angesubiri sana sana miaka miwili tu lakini miaka 13 duuuh!!!! Kuna haja ya kumuomba Dr wa kweli MziziMkavu amcheshie mizizi ya mhina iliyochanganywa na mkojo wa mjusi, manyoya ya bata na kwato za pundamilia ili umsaidie vinginevyo atakulaumu sana kwa kumkatishia mapenzi yake kwako.
Kumbe eeh!....On my way to Peramiho lol!
ahahahhahahhahahhhahah !HATUACHIKI SIYE![/QUOTE]
ahahahahhahhhahhahhah SAFARI NJEMA !mi naandaa kabisa show ya kioda huku!dada mkubwa tuanze kumuandalia mlongo wetu lijamanda si unajua mama alituachia hiyo kazi tena hasa wewe dada mkubwa
ha haaaaaaaaa, sorry mlongo wangu.......basi tupia hata cha kudanganyishia nitakusitiri, lol!dada mkubwa unanianza!
I really do rafiki. hilo wala halina shakaJust enjoy this very special experience to the maximum rafiki..
Kumbe eeh!....On my way to Peramiho lol!
ha haaaaaaaaaa, karibu sana..........
mlongo wangu snowhite, hebu tumchagulie binti mzuri kule ambaye hatampa shida rafiki yetu
limbwata la kazi gani rafiki? unafall bila limbwata wala niniMhhhhh! hii ndio kule Tanga kunani inaitwa Limbwata!? lol!
usijali mlongo wangu, mimi dada mkubwa nitafanya hiyo kazi ya lijamandaahahahahhahhhahhahhah SAFARI NJEMA !mi naandaa kabisa show ya kioda huku!dada mkubwa tuanze kumuandalia mlongo wetu lijamanda si unajua mama alituachia hiyo kazi tena hasa wewe dada mkubwa
limbwata la kazi gani rafiki? unafall bila limbwata wala nini
h ahaaa, chezeya watoto wa Peramiho weye, utacheka hata kama unanunishwa, lol!hahahahaha lol! shurti kwa msisitizo...Nimecheka sana aisee lol! Mnuno wa nguvu hahahahaha lol! mie sitii neno tena lol!
Aku mwaya!!! BAK hupenda kuchagua mwenyewe rafiki...haya mambo ya kuchaguliwachaguliwa nomaaaa!! lol!
ha haaaa, sawa rafiki, kajichagulie kwa raha zako, lol!