Back from Honeymoon

muache tuu ajilie raha BAK
siye kwetu tunaogeshewa mpenda penda twapenda twapenda mpaka tunaudhi!lol
ahahahhahahhah dada mkubwa popote ulipo mama jiachie kwa raha zako!wala hugombwi mwali!
NDO URITHI ALOTUACHIA BIBI HUO BAK
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimtafute faragha ili nipate maelezo ya kina lol! Kuhusu kupenda na kupendwa rafiki asikwambie mtu. I have been therefe before yaani raha zake achaaaa!!! lakini ni nadra mnoooo kupata bahati ya kuwemo katika mahaba mazito ya namna hiyo.

 
ha haaaaaa, umeona eeh rafiki?
ila sasa raha ya huu ugonjwa inabidi muugue wote, ukiwa peke yako umekwisha.
Hongera sana kwa wazazi, ni jambo la kumshukuru Mungu sana. BAK yeye anasisitiza tu niende rehab lakini huo ugonjwa anaukubali, lol!
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaa, kweli rafiki nimeshikwa nikashikamana, chezeya uteja wewe? lol!
 
Last edited by a moderator:
BAK kaamua kusubiri at least kwa mwaka mzima kuona kama Teja litaamua kuachia ngazi...Kusubiri miaka 13 mhhhhh! miaka mingi sana hiyo...Mwache yule nanihii aendelee kusubiri akija kustuka miaka 20 imekatika tayari ameshazeeka lol!

 
muache tuu ajilie raha BAK
siye kwetu tunaogeshewa mpenda penda twapenda twapenda mpaka tunaudhi!lol
ahahahhahahhah dada mkubwa popote ulipo mama jiachie kwa raha zako!wala hugombwi mwali!
NDO URITHI ALOTUACHIA BIBI HUO BAK
ha haaaaaaa, mdogo wangu, mwambie huyo rafiki yetu BAK, sisi tukipenda ni mwili na moyo, kwa hiyo inabidi tufurahie kwa raha zetu, lol!
 
Last edited by a moderator:
Nani mwimbaji mzuri rafiki @FP? wewe au Teja?



 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimtafute faragha ili nipate maelezo ya kina lol! Kuhusu kupenda na kupendwa rafiki asikwambie mtu. I have been therefe before yaani raha zake achaaaa!!! lakini ni nadra mnoooo kupata bahati ya kuwemo katika mahaba mazito ya namna hiyo.
ndo maana inabidi ushikamane unaposhikwa rafiki....
raha yake huwezi kulinganisha na chochote
 
ha haaaaaaa, mdogo wangu, mwambie huyo rafiki yetu BAK, sisi tukipenda ni mwili na moyo, kwa hiyo inabidi tufurahie kwa raha zetu, lol!

kwa raha zetu dadangu NANI KANUNA? ahahahhahhaahhahha BAK nilimwambia hakutakiwa kuondoka zile pande za peramiho akawa mbishi!ahahahahahha BAK inawezekana kurudi tena bana!hebu ongea vizuri na moto2012 akupe maujanja!
 
Last edited by a moderator:
BAK kaamua kusubiri at least kwa mwaka mzima kuona kama Teja litaamua kuachia ngazi...Kusubiri miaka 13 mhhhhh! miaka mingi sana hiyo...Mwache yule nanihii aendelee kusubiri akija kustuka miaka 20 imekatika tayari ameshazeeka lol!
ha haaaaaaa, huwa namkumbusha kila siku atafute mwingine hataki...... nilichoamua sasa ni kwenda kumshtaki kwa wazazi wake wamkalie kooni. uteja wa hivi sasa mimi siutaki, unakuwa peke yako wakati mwenzio amesha-move on, huyu sasa anahitaji rehab. una idea na rehab nzuri hapa bongo? au ndo tumtafute MziziMkavu?
 
Last edited by a moderator:
Kama watu wakipande ile ndio wanapenda hivyo basi kuna haya ya kurudi kwa Maburuda kule Peramiho naweza kukutana na mlongo wake mwingine FP nami nikazama ndani ya mahaba ya hali ya juu lol!

kwa raha zetu dadangu NANI KANUNA? ahahahhahhaahhahha BAK nilimwambia hakutakiwa kuondoka zile pande za peramiho akawa mbishi!ahahahahahha BAK inawezekana kurudi tena bana!hebu ongea vizuri na moto2012 akupe maujanja!
 
Last edited by a moderator:
Nani mwimbaji mzuri rafiki @FP? wewe au Teja?

kwa jinsi siku zinavyoenda naona tumekutana, maana naye ni mtaalamu balaa...... na nina uhakika siku si nyingi nitapa ushindi, lol! ananipa raha sana na miziki yake
 
Last edited by a moderator:

dah nimeisoma hii mtani, imetulia sana lol
 
kwa jinsi siku zinavyoenda naona tumekutana, maana naye ni mtaalamu balaa...... na nina uhakika siku si nyingi nitapa ushindi, lol! ananipa raha sana na miziki yake

dada mkubwa hii post niseme neno au nibanish ban!ahahahahahhahahahhahahahha wala sijaiona mimi hii!
HAKIKA!
 
kwa raha zetu dadangu NANI KANUNA? ahahahhahhaahhahha BAK nilimwambia hakutakiwa kuondoka zile pande za peramiho akawa mbishi!ahahahahahha BAK inawezekana kurudi tena bana!hebu ongea vizuri na moto2012 akupe maujanja!
umeona eehh!
yaani hajui tu alichokosa, lol!
lakini wanasema there is always next time, ajitahidi
 
Huyu jamaa kwa kweli mie simuelewi kabisa. Yeye baada ya kutemwa angesubiri sana sana miaka miwili tu lakini miaka 13 duuuh!!!! Kuna haja ya kumuomba Dr wa kweli MziziMkavu amcheshie mizizi ya mhina iliyochanganywa na mkojo wa mjusi, manyoya ya bata na kwato za pundamilia ili umsaidie vinginevyo atakulaumu sana kwa kumkatishia mapenzi yake kwako.

 
Last edited by a moderator:
Kama watu wakipande ile ndio wanapenda hivyo basi kuna haya ya kurudi kwa Maburuda kule Peramiho naweza kukutana na mlongo wake mwingine FP nami nikazama ndani ya mahaba ya hali ya juu lol!
hahhhahhahhahaahh siye twajua kupenda mfano hakuna!
wala utakuwa hujakosea rafiki yangu!we rudi tartiiiiibu!
ujilie mautamu uzuri ni kwamba watujua walahi kwa hiyo wala mi na FP hatuna kaaazi kuuubwa ya kukufanya utuelewe!
 
Last edited by a moderator:
Kama watu wakipande ile ndio wanapenda hivyo basi kuna haya ya kurudi kwa Maburuda kule Peramiho naweza kukutana na mlongo wake mwingine FP nami nikazama ndani ya mahaba ya hali ya juu lol!
ha haaaaaa, karibu sana rafiki, sisi kule wakarimu sana.... tutaanza na kukuchinjia kuku tunakuwekea na chiviga kabisaaaaaa, lol! hebu mlongo wangu snowhite tafsiri hapo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…