BACK FROM BAN:Niliwamiss wana Chit Chat!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Asiye jua kufa,achungulie kaburi;ndivyo wahenga walituasa!
BAN isikieni redioni tu,ila usiombe yakukute!
Baada ya takribani siku 17 za kusota jela,hatimaye nimefunguliwa{Kwa hisani ya MODS,Lol!}
Nawashukuru kwa kipekee Invisible na timu yake kwa kunitupa jela,kwani kumeniongezea nidhamu!
Nawashukuru marafiki wote wa CC,ambao baadhi walinipigia simu,kunitumia sms na kujumuika kivingine!
NILIWAMISS SANA!!
cacico manoah Ishmael Baba V charminglady Sefet Erickb52 Arushaone AshaDii Ruttashobolwa Free Thinker(KWA SABABU MAALUM) Kipipi byna Chilli Chimbuvu watu8 Madame B sister Rosweeter Radhia Sweety Rutashubanyuma FJM Raia Fulani Beautiful Lady,jinga la falsafa MwanaFalsafa1 Buchanan tedo and all others!
Tulisongeshe kwa pamoja!
MUCH LOVE!
 
Last edited by a moderator:
Hapa namuona mkuu Invisible akikuchomoa kutoka kwenye SEVA za JF...

dell-carves-out-new-servers-from-10-petaflop-supercomputer.jpg
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! Umeenda kuoga kwanza lakini?? Usje ukawa kama mwenyekiti wa jukwaa fulani hivi!
 
Back
Top Bottom