Bachelor of social work vs socialogy MUCCOBS

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,440
Reaction score
1,408
Jaman msaada, eti bachelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi? Na unakuwa nani baadae? Kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua MUCCOBS socialogy and social work na hana dira nayo.
 
jaman msaada,eti bchelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi,na unakua nan badae.kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua muccobs socialogy and social work na hana dira nayo.
Karibu MUCCoBS ajira za sociology ni nyingi sana ,soma tu
 
jaman msaada,eti bchelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi,na unakua nan badae.kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua muccobs socialogy and social work na hana dira nayo.

Ba-sociology inamuelekeo mbele ya safari siyo lazima kuajirilwa bali hata kujiajiri na kuajiri....Ila mimi ni mfnayakazi wa muccobs hatuna kozi kama hiyo na kama amechaguliwa TCU watakuwa wamefanya makosa hapa bachelor degree ni hizi zifuatazo:
1.Ba-acconting and finance
2. Ba-business economics
3. Ba-community economic development
4. Ba-co-operative management accounting
5. Ba-human resources management
6. Ba-marketing and entrepreneurship
7. Ba-microfinance and enterprise dvelopment
8. Ba-procurement and supply management
9. Bsc- business information and communication technology
10. Bachelor of laws ll.B

From the true source.....
 
Soma sociology ndugu n coz nzur sana pia inawanja mkubuwa katka ajira! Kwakufanyia hosptal, halmashaur, tasaf, tanapa, idara ya maj, MKUKUTA, na NGOS nyngi yan in short ina uwanja mpana wa ajira!
 
Soma sociology ndugu n coz nzur sana pia inawanja mkubuwa katka ajira! Kwakufanyia hosptal, halmashaur, tasaf, tanapa, idara ya maj, MKUKUTA, na NGOS nyngi yan in short ina uwanja mpana wa ajira!

thanx nimeridhika
 
Yap hiyo programme itakuwa haipo na TCU watakuwa wamefanya makosa.
 

kama wewe ni mwalimu wa hapo muccobs,ebu mshauri huyu mwanafunzi wenu anaejiita mpigamsuli aache kujidhalilisha humu jukwaani kwa kuanzisha thread za kipuuzi.
 
jaman msaada,eti bchelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi,na unakua nan badae.kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua muccobs socialogy and social work na hana dira nayo.

Mdau, kwa kuzingatia hali ya sasa hasa ushindani ktk soko ajira, idadi ya wahitimu wakioko sokoni na wanaoendelea kuingia sokoni, vigezo vinavyotakiwa na waajiri siku hiki ikiwemo Serikali na Taasisi zake, n.k. chukulia Digrii ya kwanza kama Elimu ya Msingi ya lazima ambayo itakupa msingi wa kusoma PGD na Masters ambako utakita kwenye fani ya uchaguzi wako.

Ukiwa na PGD na/au Masters, ushindani ktk soko la ajira ni nafuu kidogo na unaweza kulenga hata soko la ajira la nje kwenye mishahara ya USD na Euro!

BASO ni Kozi nzuri tu. Hakikisha kuwa you are the best at what you do - issue sio kupata GPA kubwa tu, bali kuweza kuitumia Elimu hiyo practically!

Vile vile, kama alivyoshauri Mdau hapo awali, soma ujiajiri ili uajiri, ukiajiriwa hutaajiri! All the best!
Maoni yangu na nyongeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…