Bachelor of science ni clinical medicine!

Bachelor of science ni clinical medicine!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Hii degree ikoje wadau? Ina tofauti gani na MD kwenye ajira? Naelewa ndio pale wengi ni CO lakini vipi hadhi ya hii kozi?
 
Tofauti ni hipi na doctor of medicine ya pale muhas? Je criteria zipi za kujiunga na hiyo programu ?
 
Je kwa aliyehitimu uuguzi na ukunga stashaada anafursa ya kusoma? Vilevile kwa cbg nao wanafursa! Msaada kwa maelezo
 
Back
Top Bottom