Bachelor of science in multmedia technology and animation (UDOM)

Bachelor of science in multmedia technology and animation (UDOM)

nedy360

Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
8
Reaction score
0
Nipende kuwapongeza kwanza wale wote waliopata nafasi ya kuchaguliwa katika chuo kikuu cha Dodoma(UDOM).

Pia niwapongeze wale wote waliochaguliwa course hii ya bach of science in multmedia technology and animation (MTA) ....inawezekana ukawa hujaisisika sana lakini ni kozi nzuri inayopatika katika collage of informatics and virtual education(CIVE) hapa UDOM...kamwe hutojuta kwann upo ndani ya hiyo course utajifunza mengi na utayafurahia...yapo meng yakuongea basi kama wew ni mlengwa basi tutafutane ili tujuzane mengi kuhusu hii course.

Karb UDOM.
karb CIVE.
 
Wanakuja mkuu.... Ila hii course lazima iwe creative
 
nendeni pale mkasome mtakutana na kina Ntaho, Ngondya, mjahid,Masudi mzee wa totoz,Dewa(katika programing) Bila kumsahau Dr Mvumwa na Anatory, pale ni kukariri kwenda mbele hakuna workshop.Cafteria ipo ya kutosha lkn kwa pembeni kuna wajasi wakutosha kasomeni vijana
 
C++ au co mzee...
 
Kwa nini hii degree haikuwekewa na neno "engineering" naamini darasa lingejaa haraka
 
C++ au co mzee...
Hapo utakuwa na Dewa ni mtaalamu wa programing anazikimbiza code na yuko vizuri hao wengi ni wazee wakukamatana tuuu nilipokuwa first year daaaahhhh walinikamata kinyama lkn kagonge shule ya nguvu na uwe mbunifu sana kwani kuna wanafunzi wa mwaka wa tatu hawajui hata kuformat pc nani anasoma compyuta kuwa makini
 
Mkuu ebu funguka tuko gizani wengine summarise kidogo kuna nini kwenye kozi hii hatujaisikia sana
 
Back
Top Bottom