fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,676
kwa hiyo kuna cheo cha mwanamahesabu wa serekali?Sio kila kitu kinachihesabiwa ni hela
kwa hiyo kuna cheo cha mwanamahesabu wa serekali?Sio kila kitu kinachihesabiwa ni hela
Kwenye ajira zaKufundisha yeyote anafundisha. Lakini sio Mwalimu as professional.
Yeyote unaweza kufundisha?????sasa kuna haja gani ya waalimu kama engineer, mhasibu,doctar anaweza kufundisha??? Ualimu n professional ya MTU sio kila MTU anaweza kufundisha...tengua kauliKufundisha yeyote anafundisha. Lakini sio Mwalimu as professional.
Hata ajira za walimu zikitoka hii bachelor sidhan kama unaweza kuikoncider kama professional teacherBlazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
Sijasema kama profession mkuu, ni kwamba ajira za baadhi ya course kama hizo ni kitendawili kwa nchi yetu hivyo basi graduates huenda kufundisha kwasababu wanafaham basics zoteHata ajira za walimu zikitoka hii bachelor sidhan kama unaweza kuikoncider kama professional teacher
yapo mambo mengi unaweza ukafanya na bsc in mathematics Kama kuwa data analyst or data scientist, operational researcher, statistician, financial analyst, investment analyst na kufundisha na vingine vingiNAOMBENI kuulza coz hii inahusiana na nin na iko marketable kwa kiac gan