BACHELOR OF SCIENCE IN MATHEMATICS

BACHELOR OF SCIENCE IN MATHEMATICS

Wana takwimu hao
Kwa serikalini bodi ya takwimu
Ila pia kwa sekta binafsi pia kuna ajira..
 
Ni ualimu huo, huna tofauti na wa bachelor of arts in history au bachelor of general science.. pole sana ila muda unao ukifika chuo badili course
 
Bachelor of art in history sasa huo ni ualimu????? Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na eduction mfano;bachelor of art with or in eduction...na kuendelea
 
Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
 
Ni ualimu huo, huna tofauti na wa bachelor of arts in history au bachelor of general science.. pole sana ila muda unao ukifika chuo badili course
Sio ualimu . Ualim lazima utakutana na neno Education and not otherwise. Bsc_Education(Maths), Bachelor of Education in Science(Maths). , Bachelor of Education (Mathematics) in Mathematics .
 
Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
Kufundisha yeyote anafundisha. Lakini sio Mwalimu as professional.
 
Sio ualimu . Ualim lazima utakutana na neno Education and not otherwise. Bsc_Education(Maths), Bachelor of Education in Science(Maths). , Bachelor of Education (Mathematics) in Mathematics .
Yea ni kweli sisemei as profession ni kwamba tu hakuna sana ajira kwa nchi yetu kwenye hizo courses so wengi hukimbilia kufundisha ndio maana nimeona nimshauri mtoa uzi kwamba kama hatapenda ayo yamtokee then akifika chuo ahame course chap
 
Blazaaa sa bachelor of history utafanya kazi gani, yani nasema hivyo cause secobdary tulkua tuna mwalimu ana bachelor ya mathematics but alikosa ajira, ndio maana wengi hukimbilia kufundisha cause wanakua wana basics zote za hilo somo husika
Ila hawana taaluma ya kufundisha acha kushupaza shingo hyo kozi haiusiani na ualimu kama ni hivo na wale wa bsc biology kumbe wanatakiwa kufundisha mbona tunakula nao majani mtaani
 
Angalia bandiko #15 nilivyoelaborate
 
Back
Top Bottom