Bachelor of science in mathematic and statistics

Kaipige unaweza kuja kuwa mwalimu au kufanya kazi za mtakwimu jamaa niliyesoma naye kapangiwa morogoro ualimu wa hesabu na serikali pia kwenye nafasi za takwimu huwa nilikuwa nikienda kufanya naye interview
 
Kumbe nayo inahesabika kma course ya education et?
 
Jaman mwenywe uelewa kuhusu course hiyo course apo
Daa ni bora uwahi mapema ukabadili uombe statistics yenyewe, au actuarial science.ila actuarial nafasi huwa nichache. Hiyo haina utofauti na general science aliye specialize kwenye mt na statistics ,ukishindwa kabisa nenda economics and statistics huta jutia Hayo ma MT yayakusumbua bure halafu kwenye kazi unapigwa bao na watu wa actuarial science, statistics na economics
 
Kumbe nayo inahesabika kma course ya education et?
Jamaa wangu amepangiwa kabisa ualimu wa hesabu amesoma hiyo kozi ya bachelor of science in mathematics amemaliza chuo 2016 pia ukisoma hiyo bachelor of science in mathematic and statistics ya mwenge ni nzuri pia unaweza ukaja kuwa mwalimu wa hesabu kama serikali itahitaji walimu wa science zaidi
 
Bachelor of science in Mathematics anajairiwa kama mwalimu???

Aisee hii ni mpya na sijawahi ona,

Siamini kabisa kama serikali inawaajiri hawa jama kama walimu, hawasomi koz yeyote ya education chuon, kuandika lesson plan, scheme of work, wala field hawaend mashulen kufundisha sasa atakuwaje mwalimu???

Kama huyo jamaa kaajiriwa basi n jipu moja hatari tena limeiva

Na ninauhakika atakuwa kawekwa ju juu huko, hakuna wa kuajir watu kama hao kama walimu

Aisee kumbe tz imefika huku,

Dogo kama unataka kusoma ualimu, soma koz yenye education, hizo nyingine hazihusian na ualimu kabisa

Bacholer of science with education
Bachelor of education in science
Bachelor of education in mathatiics

N. K hizo ndio koz za ualimu
Koz yeyote ya ulaimu ina neno
EDUCATION, usije kujutia badae
 
Asnte kwa ushauri
 
Back
Top Bottom