Kumbe na St joseph wamo? Nataka mdogo wangu ahamie hapo kwa CSE, au nampoteza mkuucomputer science and engineering ya st Joseph CSE ile ni computer engineering CE , UDOM inaitwa CE , DIT inaitwa CO , UDSM inaitwa computer engineering and Information technology kozi hiz zote zinalenga computer science lakini zina base katika computer hardware zaidi kuliko software japokua wanagusa kidogo upande wa software lakini module zao zina base zaidi katika upande wa math physics na electrical , katika computer engineering and Information technology ya UDSM ni double major ina include na information technology but all in all hiz ni engineering degree zinafana, information technology yenyewe ina base katika application ya computer science naposema application namaanisha mwana IT yeye huwa mtumiaji wa product au mtaalamu operator, mfano NASA wanarusha satellite kwenda angani wanaitaji mtaalam mwenye taaruma ya kutumia mitambo ya kisasa hawa ni watu waliosoma IT pia IT ni trouble shooter kama vile kuinstall systems na kufanya configuration kama vile systems kwenye banks , kuinstall na ku backup data ku deal na database management na kutoa. msaada kwa wateja wa kawaida .
st joseph kwa sasa hawachukui koz hiyo tangu walipopata matatizo na TCU Baadhi ya koz zilifungwa ikiwemo hiyo nakushauri mpeleke UDOM.Kumbe na St joseph wamo? Nataka mdogo wangu ahamie hapo kwa CSE, au nampoteza mkuu
Hapo sema ukweli hujafanya utafiti wa kutosha. Kozi zote zilizofungiwa naona TCU wamezifungulia ikiwa ni pamoja na hiyo kozi. Nisingependa asome mbali ili niwe naangalia maendeleo yake ila wasiwasi wangu ulikuwa ni chuo hicho.st joseph kwa sasa hawachukui koz hiyo tangu walipopata matatizo na TCU Baadhi ya koz zilifungwa ikiwemo hiyo nakushauri mpeleke UDOM.
labda kama wamefungua round hii lakini koz hiyo ilifungiwa mtu mpaka anafika atua ya kusoma degree ni mtu mzima inabid yeye mwenyewe ajifunze kuendesha maisha yake , st joseph tatizo kubwa ni ada kumbuka chuo hiko ni private nakumbuka ada yao ni kama million 2 na laki 2 na nusu kwa mwaka wakati vyui vya serikali ada ni sh million moja na nusu, ukipiga hizo hesabu kwa miaka minne ni hatari.Hapo sema ukweli hujafanya utafiti wa kutosha. Kozi zote zilizofungiwa naona TCU wamezifungulia ikiwa ni pamoja na hiyo kozi. Nisingependa asome mbali ili niwe naangalia maendeleo yake ila wasiwasi wangu ulikuwa ni chuo hicho.
Bado dogo anatakiwa uangalizi. Ni kweli wamefunguliwa nilikuwa kwao jana. Aidha naona wamepunguza ada zao na sasa tofauti kati ya vyuo vya serikali nao ni kama laki 4 tu. Tatizo kubwa la vyuo vya serikali ni mlundikano wa wanafunzi hadi wengine tulikuwa tunasoma nje. Niliambiwa jana pale st joseph kuwa darasa Lao hawazidi 50. Ngoja nifanye utafiti kidogo maana ningependa dogo apate elimu bora si bora elimu. Mateso ya kijana kupata degree ambayo hawezi hata kujisimamia mtaani ni uchurolabda kama wamefungua round hii lakini koz hiyo ilifungiwa mtu mpaka anafika atua ya kusoma degree ni mtu mzima inabid yeye mwenyewe ajifunze kuendesha maisha yake , st joseph tatizo kubwa ni ada kumbuka chuo hiko ni private nakumbuka ada yao ni kama million 2 na laki 2 na nusu kwa mwaka wakati vyui vya serikali ada ni sh million moja na nusu, ukipiga hizo hesabu kwa miaka minne ni hatari.
Pia, kozi hii udsm na udom ni miaka minne lakini RUCU ni mitatu.Hii imekaaje.
kozi ya ruco sio engineering degree,
RUCU kweli ni miaka 3 na wenyewe wameistyle kuwa ni engineering na TCU wamelikubali hilo. Hapo chini ni cut na paste from TCU Admission Guide 4th edition. Nionacho soma kwa umakini chuo program yake ikoje halafu amua ni nini unataka au upate mtu wa kukuongoza.zenye miaka minne ni engineering degree, hiyo ya ruco sio.
Mkuu kama amemaliza F6 sidhani kama anahitaji uangalizi wa karibu kiasi hicho na sijui utamuangalije huyo. Fuatilia tu progress yake ya kila semester na unaweza ku arrange na watu wa kuzungumza naye kila baada ya semester au akiwa field.Bado dogo anatakiwa uangalizi. Ni kweli wamefunguliwa nilikuwa kwao jana. Aidha naona wamepunguza ada zao na sasa tofauti kati ya vyuo vya serikali nao ni kama laki 4 tu. Tatizo kubwa la vyuo vya serikali ni mlundikano wa wanafunzi hadi wengine tulikuwa tunasoma nje. Niliambiwa jana pale st joseph kuwa darasa Lao hawazidi 50. Ngoja nifanye utafiti kidogo maana ningependa dogo apate elimu bora si bora elimu. Mateso ya kijana kupata degree ambayo hawezi hata kujisimamia mtaani ni uchuro
ndio maana nikakwambia hiyo sio engineering degree ndio maana ina miaka mitatu , ni computer science imekaa katika muelekeo wa software , tofauti kwenye software engineering kuna zaidi ya programming na development of software ningekua na muda ningeelezea ni tofauti hizo kozi.RUCU kweli ni miaka 3 na wenyewe wameistyle kuwa ni engineering na TCU wamelikubali hilo. Hapo chini ni cut na paste from TCU Admission Guide 4th edition. Nionacho soma kwa umakini chuo program yake ikoje halafu amua ni nini unataka au upate mtu wa kukuongoza.
View attachment 1214870
Miaka mitatu haifanyi degree kukosa hadhi ya kuwa engineering. Ni kama sheria tuna degree za miaka 4 na zile za miaka 3. Cha msingi ithibati imetolewa na TCU.ndio maana nikakwambia hiyo sio engineering degree ndio maana ina miaka mitatu , ni computer science imekaa katika muelekeo wa software , tofauti kwenye software engineering kuna zaidi ya programming na development of software ningekua na muda ningeelezea ni tofauti hizo kozi.
Bother acha ubishi kama ungejua maana ya software engineering usingechukulia poa hivyo software engineering sio tu kutengeneza system au programming kuna zaidi ya hapo ingia kwenye prospectus ya ruco soma introduction ya hiyo program utaona haina anything to deal with software engineering alafu nenda usome introduction ya software engineering udom utaona tofautiMiaka mitatu haifanyi degree kukosa hadhi ya kuwa engineering. Ni kama sheria tuna degree za miaka 4 na zile za miaka 3. Cha msingi ithibati imetolewa na TCU.
Akiingia first year, atasoma somo la introduction to Information Technology hapa awe makini , atafundishwa jinsi ya kufungua kompyuta na kuoneshwa ram, hdd, na processor na vitu vingineKijana hajawai soma kompyuta kabla, je kuna ugumu wowote atakao kumbana nao
Wewe shida yako unachanganya Computer Science na Computer Engineering,Computer science vyuo vyote hapa bongo ni miaka 3,Computer Engineering inakula miaka 4,Ruaha hakuna Computer Engineering kuna Computer scienceHabari zenu wakuu.
Mdogo wangu kachaguliwa hii kozi udom.Ninaomba kujua field of work kwa mtu mwenye taaluma hii,soko la ajira , pamoja na namna za kujiajiri.
Pili, nimeshanga kuona kwa udom na udsm kozi hii inahitaji applicant awe na principal pass ya maths na phys , lakini chuo kama ruaha catholic university kozi hii inahitaji principal pass kwa masomo yoyote ya sayansi.
Pia, kozi hii udsm na udom ni miaka minne lakini RUCU ni mitatu.Hii imekaaje.
Na mwisho ningependa kujua changamoto kubwa atakazo kutana nazo mwanafunzi wa kozi hii.
Natanguliza shukrani