Bachelor of Science in Biology

Bachelor of Science in Biology

niliicheki university of bagamoyo na udom nahis ina mkopo
 
poa. nachek na ,medical labaratory naona hii ina mtoko wa ukwee
 
na wasiwasi na computer science coz naskia ajira zake ni ngumu. pia hawa jamaa wakibahatik wanapiga kaz na IT. so naogopa mwenzio
 
computer science naskia ngumu kupata kazi. kwa tz hii bado sana
 
wakemiaa kwan wanafanya kaz gan??? nyingine ukitoa zile za viwandan
 
Back
Top Bottom