Jeremiah john masunga
Member
- Aug 3, 2016
- 29
- 8
Wakuu naombeni msaada kuhusu hiyo course hapo juu je inasoko la ajira?
Hiyo inahusiana na ufujagi wa nyuki na jinsi yakuanda nyumba za nyuki.Wakuu naombeni msaada kuhusu hiyo course hapo juu je inasoko la ajira?
Asante mkuu ..vp ina soko la ajira?Hiyo inahusiana na ufujagi wa nyuki na jinsi yakuanda nyumba za nyuki.
Haswa kujiajiri mwenyewe inalipa unafuga nyuki unavuna asali na kuuza.Asante mkuu ..vp ina soko la ajira?
Hahahah hakuna haja ya kusoma nenda kwa Wanyamwezi hapo tabora wanaujuzi kuliko ukapoteza muda darasani yaani ujuzi wao hauitaji darasa na unanishangaza unaposrma kuna ajira kwani kuna shirika la nyuki la taifa.
Kwan mfumo wetu wa elim upoje hapa Tanzaniawewe unasoma kupata ajira au kupanua uwezo wako wa kufukiri na kutenda? ndio maana Nchi hii itabaki kuwa masikni
muulize NdalichakoKwan mfumo wetu wa elim upoje hapa Tanzania
ila mimi sikuenda shule ili kupata ajiraKwan mfumo wetu wa elim upoje hapa Tanzania
Anha bhas nmekuelewaila mimi sikuenda shule ili kupata ajira