kasome ni kozi nzuri. employers wa kozi hiyo ni vyuo vikuu, ngo (local), international ngo, local gove haina tofauti na mtu anayesoma development studies..principle ni zile zile sema iko specific sana na jamii masikini, watu wa vijijini....cha msingi soma kwa makini sana, ukitoka uwe pia unajua kutumia komputer kwa kiwango cha juu...elective kozi chagua zile za uchumi......pia chuo chenyewe ni chuo bora kabisa katika nchi hii, ina walimu wa kutosha..wanafunzi wachache, vifaa vya kumwaga..computer, vitabu.....kila la kheri