bachelor of quantity surveying,building economics na construction management.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
waungwana,naombeni mnipe mwongozo kati ya hizo kozi tatu hapo juu ni ipi nzuri,nafikiria kusoma mojawapo mwaka huu.na je mtu aliyesoma HGE ataweza kuchaguliwa kweli?asanten
 
Mkubwa nakushauri ukasomee uwalimu unajua tena kuna upungufu mkubwa sana wa walimu wa economic na Geography, ili uweze kuwasaidia wadogo zetu waliopo shule za kata.
 
Zote nzuri hakuna hata moja mbaya hapo, au unataka ipi ni rahisi kupata kazi? Sasa hivi ajira sio rahisi kwa course yeyote kijana hali mbaya na ukitaka uonekane lazima uwe competent no matter what course you pursued.
 
Building economics is the same as quantity surveying. Soma BE / QS instead of construction management because CM is a course one can pursue as a postgraduate course na inalipa zaidi doing it in a master level. BE/QS unaweza pia kujiajiri!
 
building economics ni proffesion, na quantity surveyor ni jina la huyo mtaalam, soo B.E = Q.S mkuu,,,, this thing is very marketable,, i advice u go for it,,, if i wasnt an architect, the second thing ambacho ningesoma ni B.E,,,,, kila mtu siku izi anapotaka kujenga,,, the first thing, kabla hata ya design ni ''PESA NGAPI ITACOST'',, '' TUTAWEZAJE KUMINIMIZE COST'' n things of such sort,. Na hapo baba, wewe ndo mtaalam,, soo, automatically, u'll meik it brother,,, go for it.
 
waungwana,naombeni mnipe mwongozo kati ya hizo kozi tatu hapo juu ni ipi nzuri,nafikiria kusoma mojawapo mwaka huu.na je mtu aliyesoma HGE ataweza kuchaguliwa kweli?asanten
huwezi kusoma QS bila basic knowledge ya construction, so youneed either of the three, B.E, C.M or Building Survey.. you become a quantity survyor ukisha fanya mitihani ya bodi na kusajiliwa..
 
Back
Top Bottom