Bachelor of helth system management

Kasome hiyo course una pewa mkopo 100% pia imeanza mwaka jana maanake competation ni ndogo
mwaka huu kiwango cha juu cha mkopo ni 40% bodi imepanga mikondo mitatu kutokana na fani mbali mbali ambayo ni
Science & education 40%,
Uhandisi,kilimo, misitu, usafirishaj, sayansi ya ardhi 35%,
Lugha, sanaa & Jamii n.k 25%.
 
Hizo asilimia ni za fani yaani kama science or art... pekee siyo kwamba mtu hawezi pata asilimia mia ...

Wapo waliopata mia
 
mzee kozi inafundishwa mzumbe pekee kwa tanzania, ushauri wangu kasome hyo kozi, ajira zipo ukizingatia wahitimu ni wachache sanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom