Simba wa teranga
Member
- Aug 5, 2017
- 37
- 23
Kama heading inavyo sema wadau naomba kujua kiundani kuhusu hiyo coz pleas
System or SERVICES?Kama heading inavyo sema wadau naomba kujua kiundani kuhusu hiyo coz pleas
KAKA NICHECK INBOX MY NO 0712620720 NITAKUSAIDIACo bora nisome nini kati ya ATRS WITH EDUCATION au helth management
Acha kumdanganya mwenzio,kuna waliosoma iyo course na mkopo wamekosa na pia haikuanza mwaka jna maana kuna watu tunagraduate nao mwaka huu labda kama ni chuo kingine na sio mzumbeKasome hiyo course una pewa mkopo 100% pia imeanza mwaka jana maanake competation ni ndogo
Wanaograduate ndio wakwanza au nmekosea...aya sasa about loan unafkr n medcne kila mtu apewe..Acha kumdanganya mwenzio,kuna waliosoma iyo course na mkopo wamekosa na pia haikuanza mwaka jna maana kuna watu tunagraduate nao mwaka huu labda kama ni chuo kingine na sio mzumbe
Wanaograduate ndio wakwanza au nmekosea...aya sasa about loan unafkr n medcne kila mtu apewe..
Ahhhhh aya mkuu ila tulishaitolea maelezo Mara nyingi sanaKama heading inavyo sema wadau naomba kujua kiundani kuhusu hiyo coz pleas
hongera kwa kujiunga na MUHealth system (mifumo ya afya?System or SERVICES?
Mkuu watu tume graduate na hiyo courseKasome hiyo course una pewa mkopo 100% pia imeanza mwaka jana maanake competation ni ndogo

Kuanzia mwaka juzi ni priorityAcha kumdanganya mwenzio,kuna waliosoma iyo course na mkopo wamekosa na pia haikuanza mwaka jna maana kuna watu tunagraduate nao mwaka huu labda kama ni chuo kingine na sio mzumbe
Thanks for clarificationKuanzia mwaka juzi ni priority