babuyaaatz
Member
- Dec 15, 2020
- 5
- 0
Wakuu hivi mtu mwenye shahada kama hii anaweza kufanya kazi gani mbali na suala la ualimu.
Aise kuna bachelor zingine ni hatariWakuu hivi mtu mwenye shahada kama hii anaweza kufanya kazi gani mbali na suala la ualimu
Mi nina shida sana na Diploma yake.Kama ipo OUT mnishtue.Hii fani safi sana.Wakuu hivi mtu mwenye shahada kama hii anaweza kufanya kazi gani mbali na suala la ualimu
sawa sawa mkuuNimegraduate hiyo kozi mwaka jana, ni kozi nzuri kama utazingatia, but huu ni ualimu unao deal na stadi ya makuzi, kwenye market ya ajira za ualimu haina soko kama unavyoisoma hapo, [emoji4] kwa sababu Psychology haifundishwi kokote zaidi ya kwenye vyuo, kama utafanikisha vyuo vya ualimu sawa.
Kuhusu kufanya kazi nyingine sina hakika sana, labda ufanye career consultation pengine hapana, kwa sababu basically ni mwalimu, [emoji1] u gotta play on educational field, nothing more.
BTW; unaweza kufanya kazi sehemu nyingi kama bachelor degree graduate na sio kama mhitimu wa Bed Psychology, no.
kwanini mkuuAise kuna bachelor zingine ni hatari
aisee hapo kazi ipoUkjiunga na UVCCM unakuwa ukuu wa wilaya Udas au ukurugenzi
nauzingatia ushaur wako mkuuKama nitaweza kukushauri kitu kwa sasa, ni kutohangaika na ma bachelor haya, hayana maana kwa sasa sokoni, maybe kama una target, kama pale OSHA ama chuo cha Bandari kuna kozi nzuri ambazo ukiwa na kisomo hata cha diploma unaweza fika mbali aisee,
Ni program ya elimu ambapo utasoma courses zinazohusiana na elimu na psychology. Kuna utofauti Kati ya vyuo kwa namna inavyotolewa.Wakuu hivi mtu mwenye shahada kama hii anaweza kufanya kazi gani mbali na suala la ualimu.
Ebu funguka kidogo kuhusu hizo kozi.Kama nitaweza kukushauri kitu kwa sasa, ni kutohangaika na ma bachelor haya, hayana maana kwa sasa sokoni, maybe kama una target, kama pale OSHA ama chuo cha Bandari kuna kozi nzuri ambazo ukiwa na kisomo hata cha diploma unaweza fika mbali aisee,