Bachelor of education in adult education

franknombo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
170
Reaction score
177
Wakuu hv hii course ya bachelor of education in adult education Mtu akiisoma soko lake la ajra lpoje? Na Mtu atafanya kazi gan baada ya kuhitimu mafunzo?
 
MWALIMU mwenye uwezo wa kufundisha vyuo vya Kati na kushuka chini lakini mbobozi wa elimu ya watu wazima
 
Wakuu hv hii course ya bachelor of education in adult education Mtu akiisoma soko lake la ajra lpoje? Na Mtu atafanya kazi gan baada ya kuhitimu mafunzo?
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.
 
Utapeli huu mnalipia na kodi?! Mmesajiliwa?!
 
Back
Top Bottom