Bachelor of Education & Bachelor of Art With Education ni Programme ipi nzuri kuchukua?

Tafuta kozi Nit ,mipango,ifm.kuna kozi nyingi nzuri tu mtu was art anaweza soma
 
Tofaut n kwambaa koz kama bed utaspecialize only kwenye ualim lakn baed unaweza kuwaa hata afsa misitu nje ya ualim hasa wale wanaopgaa geography ina koz had za regionall planning ect
regional planning ??? acha kudhalilisha fani za watu ,yani regional planning ukaikute kwenye education
 
regional planning ??? acha kudhalilisha fani za watu ,yani regional planning ukaikute kwenye education
Unakataa nn watu tumepga had GIS and remote sensing. Natural resources management, disaster management ndan ya BAED kwa wale wa geography lkn.. Toa mihooo ijooo!!
 
Back
Top Bottom