Bachelor of Education & Bachelor of Art With Education ni Programme ipi nzuri kuchukua?

Tofaut n kwambaa koz kama bed utaspecialize only kwenye ualim lakn baed unaweza kuwaa hata afsa misitu nje ya ualim hasa wale wanaopgaa geography ina koz had za regionall planning ect
Asante Mkuu
Vp? kam unaelew kuusu Bachelor of Art with Education (English & Chinese) na Bachelor of Language studies
 
Kwani hiyo ndogo yako ndoto yake ni nini ? Je, hajitambui kiasi kwamba asijue kozi inayolandana na ndoto yake ?
 
Kwani hiyo ndogo yako ndoto yake ni nini ? Je, hajitambui kiasi kwamba asijue kozi inayolandana na ndoto yake ?
Ualim
k2 kiingne elimu yetu ya Tz inaharbia watu ndoto zao Mtu unakuta alitak kuw Lawyer/Doctor mala wanakwambia kuna competition hii hutokea ka vyuo vile vzr ambapo madg wanataman kusomea mwsho wa cku dg anabadil ndoto na kutmiza ndoto ya kusoma chuo kzr kitaalum ktk fan ingne
 
Kwa kuwa umeomba ushauri acha na mimi nikushauri....tafuta chuo kinachotia degree ya sheria kwa miaka 3 akapambane uko ninaposema kupambana namaanisha sheria sio kazi ndogo aache kuwaza kwamba ana 1.
Nk.Udom na udsm ni miaka 4 kama atachukua ushauri wangu.
 
Habari za saizi WanaJF

Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka,Nina dogo alichukua HKL na kwa balaka za Mungu katunukiwa Div 1.9 yani
History-D
Kiswahili-B
English-C
Gs-E
Asa kwa ufaulu huo anatak kuchukua kozi ya ualim
Sasa mkanganyiko umetokea achukue BA.ED au B.ED

Kwa ushauri wenu WanaJF wajuvi ni programme ipi nzuri na inanumafaa kwake
Ikiwezekana na ushauri wa chuo kizuri kusomea moja ya programme

MSAADA WENU TAFADHARI
Swali: Anatarajia kusoma kwa mkopo wa bodi au kujilipia binafsi?
Kama atajilipia mwenyewe basi aachane kabisa na kusoma BAED au BED Hazina ajira kwa sasa kama anasoma ili aajiriwe.

Kama anategemea mkopo wa bodi, PENGINE HUENDA LABDA akapata mkopo kwa kozi hizo japokuwa afahamu kuwa baada ya mwaka mmoja toka amalizapo chuo anatakiwa kulipa mkopo, japokuwa atakuwa hana ajira maana ajira za walim wa arts hakuna siku hizi na hapo deni ndipo litakapoanza kupanda.

Kama ni lazima asome ualimu basi nashauri ajikite katika eneo la SAIKOLOJIA (BED PSYCHOLOGY) hasa SOCIAL PSYCHOLOGY akimaliza anaweza kujiajiri hilo eneo na asilale njaa. Jamii ina matatizo mengi kama changamoto za mahusiano, mapenzi, ndoa, malezi nk na kwa sasa hitajio la wataalamu washauri/wanasihi ni kubwa na watu wapo tayari kulipia huduma hizo tofauti na ilivyokuwa zamani.

Kama bado ana ndoto za kuajiriwa basi asome Public admin in Healthy (ipo mzumbe nadhani, wanasoma watu wa arts. Hawa huwa makatibu wa hospitali au wasimamizi miradi ya afya)

Au kozi ya ujasiriamali (nadhani ipo udsm) akimaliza nadhani itakuwa imemsuuza mtazamo na itamsaidia kutafuta kitu binafsi cha kufanya au kujiajiri hata kama ikiwa ni kuwa mshauri wa kujitegemea wa mambo ya ujasiriamali (kwa sasa wapi wengi ila hawakusomea, kila mtu ni mwl wa ujasiriamali. Hivyo yeye atakuwa na advantage ya usomi na specialization)

Anaweza pia kusoma masoko (marketing) na akimaliza ajiandae kujiajiri mwenyewe hasa katika eneo la new media marketing kama social media marketing management, E-commerce nk

Nashauri afikirie zaidi kozi ambazo akimaliza atajiajiri mwenyewe kuliko kusubiri ajira.

Atafute kozi za kujiongeza, aachane na kozi za mazoea ili tu aambiwe na yeye yuoi chuo kikukuu. Itamgharimu baadae.
 
mkuu usidanganywe kama unamashamba na unaweza kulima anza mapema kabisa maana amini nakuambia ukisoma any of those programs UTAPATA TABU SANA.
 
Akisomea BeD hawezi badili tena ila akisoma Bachelor ya Art with Ed anaweza endelea na kitu kingine ila all in all elimu ya Tanzania haidetermine kwamba utakuja kuwa nani!
 
Ningemshauri achague kozi tofauti na hizo. Kusomea ualimu ni kusoma uwe masikini hapa TZ.

Hutalala njaa ila maisha yako yatajaa mikopo kuanzia ya benki hadi kule bayport na saccoss.

Aidha, ni kazi ambayo kila kiongozi wa kisiasa akijisikia kudhalilisha mtu au kutukana, anaenda kuwatukana walimu iwe diwani, mbunge, dc/ rc na waziri; hata akitamani kupiga viboko anawafuata walimu na kupiga.

Ni kazi dhalili, mtaani utatambulishwa kwa udhalili mno. Mathalani, watatambulishana kwa heshima na taadhima, utasikia huyu ni Lawyor Abc, yule pale ni Marketing Officer Def, yule pale ni Engineer Ghi, wakija kwako mwalimu watakutambulisha hivi, na huyu mwenzet ni mwalimu Jkl.

Ni kazi pekee ambayo jamii inaona wanasomea ma-failier, "Utasikia hata ualimu umekosa?" Yaani, ualimu ni kazi iliyojalala la kutupia mafailier wo wote wale.
Siku zote mwalimu anakuwa ngazi ya kupandia juu lakini yenyewe haipandi juu.
Mkuu umemaliza kila kitu sina Cha kuongeza.
Ila nimecheka sana hapo uliposema wanasiasa wakitafuta mtu wa kumchapa viboko anaenda kwa walimu.
Ila ni kweli huwez kusikia mwanasiasa ameenda kuwasimanga polisi au wanajeshi.
 
Kama lengo ni ualimu soma BaEd. Toa sababu kwanini umeona BAED ni nzuri ukilinganisha na Bed,kando tu ya kuchukua masomo mawili ya kufundishia kwa Baed na moja kwa anayechukua Bed, ni ipi tofauti ingine ya kimsingi haswa inayotofautisha hizi kozi? Given kwamva hata kazini maslahi hayapishani kwa chochote.
 
Akisomea BeD hawezi badili tena ila akisoma Bachelor ya Art with Ed anaweza endelea na kitu kingine ila all in all elimu ya Tanzania haidetermine kwamba utakuja kuwa nani!
Huo wa kutobadilisha ni mtazamo tu lakini ushahidi kitaaluma kutoka TCU wala chuo chochote. Iko hivi mfano ukasoma BED teaching subject ukachukua Biology, basi masters utachukua karibu zote zinazohitaji biological sciences Pia kama teaching subject ni history(kws mfano) masters atachukua yoyote ya zile za maendeleo ya jamii n.k. sio kwamba eti masters atasoma tu za education hapana. Tuko na watu huku makazini Bachelor walichukua Bed lkn masters wakaingia professions nyingine tu kulingana na somo lilokuwepo kwenye zile teaching subjects.
 
Bachelor of Arts with Education (BAED)
~ shahada ya sanaa katika elimu. Huyu chuoni anasomea masomo mawili, mf hist & Eng na course chache za ualimu ila course nyingi zinakuwa na uhusiano na masomo yake hayo mawili.
~ Baada ya kuhitimu masomo yake anaweza kuajiriwa kama mwalimu wa sekondari kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.
~Anaweza kujiendeleza na masters ya fani nyingine baada ya kumaliza shahada yake ya kwanza.

Bachelor of Arts in education(BED)
~shahada ya sanaa katika elimu. In fact, huyu anaandaliwa kuwa mwalimu pure na hawezi kujiendeleza na masters tofauti na fani yake hiyo ya elimu.
~Huyu chuoni anasoma somo moja kama ni history basi inakuwa hiyo hiyo history peke yake pamoja na kozi nyingi za ualimu.
~Huyu yeye baada ya kumaliza masomo yake anaweza kuajiriwa kama mkufunzi kwenye vyuo vya ualimu ngazi ya diploma na certificate au kama mwalimu kwenye shule za sekondari(kidato cha l - VI).
N:B kuajiriwa kama mkufunzi siyo guarantee kwamba itakuwa hivyo unless awe na backup nyuma yake ya kumsupport.

In summary, mtu wa BAED anasomea elimu na mtu wa BED anasomea ualimu.

Nakutakia kila la kheri.
 
Ningemshauri achague kozi tofauti na hizo. Kusomea ualimu ni kusoma uwe masikini hapa TZ.

Hutalala njaa ila maisha yako yatajaa mikopo kuanzia ya benki hadi kule bayport na saccoss.

Aidha, ni kazi ambayo kila kiongozi wa kisiasa akijisikia kudhalilisha mtu au kutukana, anaenda kuwatukana walimu iwe diwani, mbunge, dc/ rc na waziri; hata akitamani kupiga viboko anawafuata walimu na kupiga.

Ni kazi dhalili, mtaani utatambulishwa kwa udhalili mno. Mathalani, watatambulishana kwa heshima na taadhima, utasikia huyu ni Lawyor Abc, yule pale ni Marketing Officer Def, yule pale ni Engineer Ghi, wakija kwako mwalimu watakutambulisha hivi, na huyu mwenzet ni mwalimu Jkl.

Ni kazi pekee ambayo jamii inaona wanasomea ma-failier, "Utasikia hata ualimu umekosa?" Yaani, ualimu ni kazi iliyojalala la kutupia mafailier wo wote wale.
Siku zote mwalimu anakuwa ngazi ya kupandia juu lakini yenyewe haipandi juu.
Asipouelewa ushauri huu hatokuja kupata ushauri bora zaidi...
Atulize kichwa achague na akasomee course nyingine, kama sheria n.k
 
Back
Top Bottom