miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Rejea kichwa cha habari hapo juu ...nimebahatika kuwa miongoni mwa walio pata vyuo awamu ya kwanza..naamini nimechaguliwa BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION kwasababu ndiyo niliyo apply...
Nilikua ninaomba ushauri kwenu wakubwa wangu mliotangulia kielimu...katika hiyo faculty niliyochagua nikajikite kwenye masomo gani ambayo yapo vizuri hata kama mama ndalichako asiponihitaji katika sector yake hapa nchini ntaweza kujiendeleza kwenye mambo mengine na bado nikafanikisha maisha...
Nimesoma HKL
NB: Sitaki matusi wala kebehi...ushauri basi inatosha
Ninaomba kuwasilisha wakuu