Bachelor of business administration in education. Msaada wa hii programme

Bachelor of business administration in education. Msaada wa hii programme

KISUNZU YP

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
117
Reaction score
41
Habari wana JF kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, kwamba mtu akisoma hiyo bachelor anakuwa nani au anafanya kazi wapi na soko lake la ajira likoje kwa sasa
 
Hyo course may be ipo hivi bachelor of business administration in Acc with educat ion apo utakuwa mwalm wa business subject na nimhasibu pia
Huo ndo uelewa wangu na am holder of that fakati
 
Back
Top Bottom